Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara.....
Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji...
Uchumi wa Dunia nzima unashuka. Kwa Tanzania utalii ni kama umesimama wote na watu karibu wote inabidi wasimamishe safari zake mpaka mwakani. Sasa Tanzania tunaingiza $2.5B kwa mwaka mmoja tujiulize pesa za miradi tutapata wapi.
Ushauri wangu kwa muda mfupi Serikali ikope mapema kabla ya riba...
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.
sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa.
misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo
1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango...
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali.
Kwa...
Acheni pesa iitwe pesa, kuna wakati pesa inaingia mfukoni mwako huku umeishiwa nguvu ukiwaza jinsi ulivyoipata.
Hakuna kitu kilichojificha duniani na mbingini kama pesa.
Mungu mwenyewe ukimtafuta kwa bidii unamuona ila pesa kuna watu wameanza kuitafuta ujanani mpaka uzeeni hawajaiona.
Pesa...
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu.
Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
Shangingi (VX-V8) moja jipya kwa gharama ya sasa ni Tsh milioni 250 (bila kodi) hapa bado gharama za uendeshaji na matengenezo.
Wakati gharama ya ujenzi wa kituo cha afya complete ni kati ya Tshs milioni 400 - 700. Au gharama ya mashine moja MRI mpya kwa bei ya mwaka 2019 ni milioni 600.
Ila...
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana...
Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara.
Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.
Wakuu ipo hivi kwa mtazamo wangu nashawishika kusema kwamba utunzaji wa pesa ni kipaji si bure nishawaza kila aina iman juu ya utunzaji pesa hatimaye nimefikia hitimisho hivyo.
Nilishajitahidi sana na kujiapiza sana ila wapi yaani lazima tu itatokea kisanga cha kupelekea kutumia pesa...
Shirikisho la Soka Tanzania TFF lakiri kudaiwa na waamuzi, lasema fedha inayohitajika kuwalipa waamuzi hao kwa msimu mmoja ni zaidi ya shilingi bilioni moja wakati fedha wanayoipata kutoka kwa wadhamini kwaajili ya malipo hayo ni takriban shilingi milioni 400
My take:
Nilijua kuna kitu nyuma...
Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada.
Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama...
hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati?
Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati?
Moderators msiipeleke hii habari jukwaa...
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa...
Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize
Kwa nini?
Nani?
Wapi?
Wakati gani?
Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo utumie pesa. Pesa ina uhai na inaona matumizi. Kama matumizi yako ya pesa ni mabaya inakimbia bila...
Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako?
Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango
Vipi wewe mwenzangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:Maisha yamechange sasahivi natumia 6000 per day weekend ndo...
Wakati ninaanza maisha nilipanga nyumba za kanisa la Kilutheri, nyumba zenyewe ziko kwenye prime location. Alikabidhiwa bwana mmoja na mkewe kuziangalia. Nyumba zilikuwa mbili kubwa zenye servant quarter. Jamaa alipangisha zote kama nyumba nne kipekee wakati ilitakiwa kila anaechukua nyumba...