Watanzania wajua ukweli pesa za misaada bado nyingi

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,440
2,000
Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada.

Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama au ni pesa yetu. Sasa tunaona misaada ya US, EU, Sweden na pesa za miradi ya bank ya dunia ambayo tulikuwa tujifanya ni zetu zote. Vilevile kuna pesa nyingi za Japan na bank ya Africa kwenye miradi mingi sana.

Tusiwe tunabeza hii Dunia imekuwa moja na nashauri tusipende kuwaita hawa mabeberu wakati huohuo tunakaa nao na kuongelea maendeleo yetu.

Hawa ni wadau maana magojwa ya kuambukiza hayachagui nchi wala rangi.
 
Akilindogosana

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
665
1,000
Kutokana na makodi na maushuru meeeeeeeengi, nchi haina bidhaa na biashara za kuuza nje ya nchi ya kuleta fedha za kigeni. Hivyo nchi haina fedha za kigeni za kwake.

Siri ni kwamba misaada inabadilika kuwa chanzo kisicho kuwa rasmi cha fedha za kigeni.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,296
2,000
Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada.

Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama au ni pesa yetu. Sasa tunaona misaada ya US, EU, Sweden na pesa za miradi ya bank ya dunia ambayo tulikuwa tujifanya ni zetu zote. Vilevile kuna pesa nyingi za Japan na bank ya Africa kwenye miradi mingi sana.

Tusiwe tunabeza hii Dunia imekuwa moja na nashauri tusipende kuwaita hawa mabeberu wakati huohuo tunakaa nao na kuongelea maendeleo yetu.

Hawa ni wadau maana magojwa ya kuambukiza hayachagui nchi wala rangi.
Ilikuwa ni ushamba wa jiwe, alikuwa anajifunza uraisi, sasa hivi ameanza kuelewa ukweli, ile miradi yake ikiisha awamu hii sijui?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom