pesa

  1. Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  2. Brazil: Kiongozi mwanasiasa akutwa amesindika kitita cha hela kwenye makalio

    Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than £4,000) in his underpants. Photograph: Adriano Machado/Reuters Jair Bolsonaro’s efforts to portray...
  3. Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
  4. C

    Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo! Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...
  5. Mbona tunazidi kuwanufaisha mabeberu?

  6. GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  7. Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    Omekua kawaida sasa kuona kila anayekutongoza anajaribu kuonesha how much he has. labda hii inachangiwa na namna tunavyoonekana kuwa ni viumbe tunaopenda kuhongwa. Utakuta msg inbox, "umekula?" ukijibu bado atakwambia "naomba namba yako nikutumie hela ya lunch". Au wengine direct kabla ya...
  8. Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  9. B

    Mwenye notes za Secretarial Course, Nursery Teacher na Hair Dressing

    Habari waheshimiwa. Kuna mwalimu anadhamiria kutengeneza simple notes kwenye baadhi ya masomo kama vile Secretarial Course, Nursery Teacher na Hair Dressing. Lengo lake ni kutengeneza Simple and summarized Pamphlets. Hivyo basi mwenye notes za masomo tajwa hapo juu aje inbox ka Mazungumzo...
  10. R

    GE2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

    Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi? Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
  11. GE2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

    Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .
  12. GE2020 Wananchi wa bariadi mmekopwa pamba na hamjalipwa pesa zenu hadi leo hii sio haki. Nipeni kura Oktoba 28, niwe Rais nitatue tatizo hili "Pro. Lipumba"

    WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA" BARIADI- SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
  13. Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi huku mitaani. Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila...
  14. GE2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

    Kila unapotembea hivi sasa katika nchi hii utayaona mabango kwa maelfu, ya wagombea wa CCM yakiwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za kuwanadi wagombea wao kwa uchaguzi mkuu ujao. Vile vile katika kila mkutano wao wa kampeni, utaona mashabiki wao, wakiwemo watoto wadogo wanaosoma shule za msingi...
  15. C

    Tundu Lissu alisema: Kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali unahitaji akili pekee ili upate pesa, what a great thinker we have?

    Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa. Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali...
  16. M

    Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

    Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
  17. Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

    Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi. Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia.. Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu...
  18. E

    Kama uchumi wako ni wa kipato cha kati na umeendekeza kugawagawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea

    Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
  19. E

    Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

    Habari za leo wakuu. Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za kujimudu kimaisha. Wao wanachowaza ni kuvaa mawigi, kukuza mahips, wakati huo huo hivyo vitu ni...
  20. GE2020 Viongozi wetu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, mkoa wa Katavi na Wilaya ya Mlele hujuma mlizomfanyia Tundu Lissu kwa sababu tu ya pesa hazikubaliki

    Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda. Hakika viongozi wetu (Musa Masanja Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…