pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee

    Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
  2. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  3. JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

    Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Mwami Theresa Ntare alikuwa Chifu na Mkuu wa Machifu pekee Mwanamke Tanganyika

    Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa. Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya mtawala kutoka katika kabila la Waha wa Jamii ya Kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

    Husika na kichwa cha habari cha mada hii. Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza utamaduni wake na kuiga tamaduni za nchi nyingine za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Katika swala la utamaduni kwa upande wa Tanzania basi haishikilii chake inatupa na kushikilia ya wageni...
  6. JamiiForums Tanzania Heri kuishi kwenye Dari au jangwani pekee Yako kuliko kuishi na mwanamke mgomvi

    MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI Mithali 21:9, 19; "Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi." "Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi." Leo nataka tuanze mfululizo wa somo hili, lengo likiwa ni kuboresha mahusiano...
  7. JamiiForums Tanzania DP World hawawekezi bandari zote, tusimmezeshe maneno Chongolo!

    DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!! Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote. SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kujinasua kwenye aibu ya mkataba wa DP World ni hii hapa

    Wajumbe, Mkataba huu wa kijambazi wa DP World na wajanja wachache ndani ya CCM na Serikali yake imekiacha CCM uchi mchana wa jua Kali. Kinachoendelea kwa sasa ni kujifaragua tu na the so called "tuendelee kutoa elimu" kwa wananchi. Serikali ikisema unafutwa tuanze upya itakuwa ni aibu na...
  9. JamiiForums Tanzania Pongezi za pekee kwa CHADEMA, Mmeonyeasha msimamo madhubuti. Mmeweka kando utamu wa asali na kujali maslahi ya taifa

    Hii ndio falsafa ambayo mlitakiwa msimame nayo. Nia thabit kupinga ufisadi. Kwenye sakata la bandari mpaka sasa mmeonyesha hamtaki mali za Watanganyika kuibiwa. Mmeweka kando utamu wa asali na kukomaa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
  12. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kabisa, sijui hii hali inatokea kwangu pekee au nanyi pia inawatokea!

    Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa. 1.Mkuu wa majeshi 2.IGP 3. DG wa TISS 4. Mkuu wa TAKUKURU 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 6...
  13. JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
  14. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachoitoa CCM madarakani ni mgawanyiko wa ndani ya chama na sio vinginevyo

    Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto pekee inayoyakumba maisha ya wengi

    Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki. Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nisiyemwelewa Rais wa TFF Wallace Karia ni Mimi tu pekee au?

    Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia. Chanzo: Sports Headquarters EFM leo Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  19. JamiiForums Tanzania CAF CL 2023/2023 Yanga anaazimia kwenda kufyeka kichaka pekee cha karanga Simba alichobaki nacho CAF CL

    Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu...
  20. JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…