Hivi nisiyemwelewa Rais wa TFF Wallace Karia ni Mimi tu pekee au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia.

Chanzo: Sports Headquarters EFM leo

Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais wa TFF Wallace Karia ambazo ni za Kibabe, za Hovyo na za Kuchanganya kila mara (hasa akiwa anahojiwa na Vyombo vya Habari) nikiambiwa havuti Bangi au hatumii Khat (Mirungi) nitabisha kwa miaka 100 mfululizo.
 
Anabebwa na kiongozi mkubwa kwa urafiki wao ila hana uwezo wowote, huwezi kumlinganisha na Tenga
Huyu wakumlinganisha na Ndolanga R. I. P ya FAT
 
Back
Top Bottom