Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 397
- 662
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.
Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kindoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.
Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.
Mke wa class mate wangu huyo amemtumia mume sms kwamba "haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.