Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
1673534368984.png
Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA) Orodha hiyo inajumuisha Hati za Kusafiria 199 tofauti na maeneo 227 tofauti ya kusafiri.

Ripoti ya utaiti huu inatolewa kila robo ya mwaka.

1. Seychelles (Nafasi ya 29 Duniani, Maeneo 153 ya kuingia)
2. Mauritius (Nafasi ya 34 Duniani, Maeneo 146 ya kuingia)
3. Afrika Kusini (Nafasi ya 53 Duniani, Maeneo 106 ya kuingia)
4. Botswana (Nafasi ya 63 Duniani, Maeneo 87 ya kuingia)
5. Namibia (Nafasi ya 67 Duniani, Maeneo 79 ya kuingia)
6. Lesotho (Nafasi ya 69 Duniani, Maeneo 77 ya kuingia)
7. Eswatini (Nafasi ya 71 Duniani, Maeneo 75 ya kuingia)
8. Malawi (Nafasi ya 72 Duniani, Maeneo 74 ya kuingia)
9. Kenya (Nafasi ya 73 Duniani, Maeneo 73 ya kuingia)
10. Tanzania (Nafasi ya 74 Duniani, Maeneo 72 ya kuingia)
 
Habari Watanzania.

Hii ndio habari njema kuhusu passport ya Tanzania.👇
===
Tanzania’s passport has been ranked 74 in the global mobility ranking and maintained its spot as the ninth most powerful in Africa.

The Henley Passport Index Report released on Wednesday, January 11, shows that the number of countries that Tanzanians can visit without a visa, or obtain one on arrival increased to 72.

The mobility score measures the number of countries that a person holding a Tanzanian passport can visit without having a visa or the nations where they can get a visa on arrival.

Japan’s passport is the strongest globally, allowing users visa-free access to 193 countries, followed by Singapore, South Korea, Germany and Spain.

Mauritius, which is ranked 34th globally emerged at position one in Africa in the annual rankings produced in cooperation with International Air Transport Association.

Others in that descending order were South Africa (53), Botswana (63), Namibia (67), Lesotho(69), eSwatini (71) and Malawi (72). Tanzania emerged in position 74 with Zambia and Uganda coming in at number 75 and 78, respectively, according to the report.

In the past ranking 12 months ago, Tanzania's passport was placed at number 77.

East African countries rolled out chip-embedded passports for its citizens to combat rampant forgery and impersonation of holders.

The new features make it impossible for anyone to forge or duplicate a passport.
 
Huyu mvaa kobaaz unamatatizo ndio maana hatuwataki huku bara
Wacha kudanganya , hamtutaki mngalitupa uraisi ?
Endeleeni kuiba tu na kutesana hii ndiyo Tabia aliyowafunza Baba yenu Laanatullahi Nyerere
 

Attachments

  • VID-20230112-WA0025.mp4
    15.6 MB
Nyie ndio maana vichwa vyenu bapa,maana wapemba wote wa humu JF akili zenu zinafanana.
Haya , wewe huwezi kuiba Benki kaibe shina la muhogo uone utafanywa kitu gani, huyu mwenzako aliyeiba ndizi kapewa aile tu kwa njaa
 

Attachments

  • VID-20230112-WA0025.mp4
    15.6 MB
Pasipoti haitusaidii wanachi wala hoi....maana hatusafiri KWA wingi kama nchi za wenzetu Naijeria,Kenya,Uganda n.k
 
Kula ndizi mbichi ni mateso makubwa sana watu wa bara tuna roho mbaya eti mkuu?
 
Na utalii utangazwe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom