Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.

Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.

pass1.JPG
pass2.JPG
pass3.JPG
 
There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.

Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.

View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
Tanzania kuna Fursa kuliko uko nje sio kama Kenya kwahiyo hamna haja ya kua mkimbizi wa kiuchumi hiyo $1000 ya kuendea Dubai hapa Tanzania unaweza kuendesha biashara nzuri na ukamiliki na gari pamoja na nyumba, Tanzania haina njaa kama Kenya.
 
The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
 
There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.

Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.

View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
Every Kenyan would wish to leave Kenya including your president, Kenya ni nchi ya dhiki, taabu na mateso. Nani anapenda kufa kwa njaa, crime and police brutality?
 
The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.

Sisi huku tunapenda kwetu maana hii nchi ya Tz haijawahi kutuangusha kimaisha.
 
Riggy G muda sio mrefu atakimbia Kenya amechoshwa na fedhea ya kutembeza bakuli kombaomba.

Maana ukiwa kiongozi wa juu Kunyaland ni sawa na kuwa ombaomba in chief
 
The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Ati tourists! Wakati passport yenyewe weak tu!
Kama mngekuwa kweli ni tourists passport yenu ingekuwa stronger than the TZ passport!
 
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.

Sisi huku tunapenda kwetu maana hii nchi ya Tz haijawahi kutuangusha kimaisha.

Bila hata kukujua, naweza sema wewe ni miongoni ambao passport wameona tu kwa mtandao. 😂😂😂
Pole maskini.

Kutembea na kutalii nje ya nchi unadhani ni kwa sababu 'hatupendi nchi yetu'. Tafuta hela uwache mafikra ya kijinga.
 
Back
Top Bottom