DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu.
Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje malaika watafungwa tu. Wakaiita Simba na wachezaji wake Panya Road, just imagine mnaitwa Panya! Dharau zisizomithilika!
Tunapoongea leo hii, panya hawa wamepanda hadi nafasi ya 4 kwenye rank za CAF, panya hawa tayari wapo miguu miwili ndani kuingia fainali ya CAFCC. Panya hawa miguu yote minne tayari imeingia katika nusu fainali ya CRDB Cup. Kwenye ligi ya NBC, panya hawa wamebakiza mechi 8 na wakishinda mechi zao zote wanakuwa bingwa wa NBC.
Mungu hatoki kijijini kwenu!