Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,375
- 17,597
Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized criminal gangs wako maeneo hayo?
Ukiangalia picha utaona hao vijana ni trained, angalia mapozi, sasa nani anawa-train? rejea panya road wako Zanzibar na Dar tu (atleast kwa sasa)