panya road

  1. Informer

    JamiiForums Tanzania Panya Road warejea kwa kasi jijini Dar. Makonda umelala?

    Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea. Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar. Tukimbilie wapi?
Back
Top Bottom