Wakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni
Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana
Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa
----
===...
Wananchi waliovamiwa na kundi la vijana Wahalifu wenye silaha mbalimbali maarufu Panya Road maeneo ya Kibaha Mkoani Pwani wamesema vibaka hao waliwavamia kwa makundi huku wakisema hiyo ndio njia yao ya kupata rizki hivyo kila mtu atii amri ya kutoa anachoelekezwa.
Wakizungumza kwenye makazi yao...
a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi.
b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika.
c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini.
d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec?
Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
Ansbert Ngurumo amesema kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwaambia vijana wa-CCM kuunyooka na kushughulika na watu wanaomsema vibaya Rais na viongozi wa CCM, haina tofauti na Panya Road ambao pia hutishia maisha ya watu kwa matendo yao.
Amesema Rais ni muajiriwa wa kwanza wa...
Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi.
Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?
Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni!
Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao!
Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
Operesheni ya Polisi-Dar es salaam dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road ichunguzwe.
Kukithiri kwa vitendo vya Panya Road Mkoa wa Dar es salaam, kumezua hofu miongoni mwa jamii kwa makundi hayo kuvamia, kupora na hata kuuwa,
mfano. Kifo cha mwanafunzi wa SJMC(UDSM) Maria Basso kilichotokea tar.14...
Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia.
Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza uhai wa watu kwa tamaa ya Mali.
Wanamiliki silaha hatari, kuzikodisha na kufanya mipango ovu kupora...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road.
DC Jokate ametoa kauli hiyo...
Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.
Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu.
Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao.
Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji.
Kwanini gereza halina...
Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu.
Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi...
Ni jioni yapata saa 1:00 jioni, wakazi wa Tabata wanakimbia huku na huko kwa hofu ya kushambuliwa na kuporwa na vijana wadogo wanaosemekana wana visu na mapanga.
Baadhi ya watu wanakodisha bodaboda kwenda mbele zaidi ya walipo. Kadri muda unavyokwenda ndivyo utulivu unavyorejea.
Kadri utulivu...
Pongezi kubwa kwa Jeshi letu la Polisi kwa kazi nzuri wanayo endelea kuifanya kuhakikisha hakuna cha panya rodi wala panya buku.
Pongezi pia kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Makala kwa kuweka mikakati madhubuti ya kutokomeza uhalifu katika Jiji la DSM.
Ushauri;
1. Zoezi la kupambana na uhalifu haswa...
Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'.
Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
RC MAKALLA: OPERESHENI INAENDELEA, DAR ES SALAAM NI SHWARI
- Asema Operesheni ya kukamata Panya Road imekuwa na mafanikio makubwa.
- Vituo vya polisi vikubwa kwa vidogo kufanya kazi saa 24 kudhibiti uhalifu.
- Aelekeza Kila Mtaa kuweka utaratibu wa kufanya kikao Cha Ulinzi kila wiki ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.