panya road

  1. Kimbesa11

    Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki kama ndani ya jamii yenu kuna Panya Road mkanyeni

    Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa. Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe anakumbuka maana hawa ni vichwa ngumu Dunia ya Sasa si yakuhatarisha maisha ya watu na ukabaki salama. Si ya...
  2. Kimbesa11

    Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  3. Samia atosha tukutane2030

    Mimi ninachojua ni kwamba PANYA ROAD ndio walioandamana tarehe 29 -31 OCT. 2025

    Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana. Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa. Ni vijana waliolelewa mazingira kama ya watoto wa bata. Lake Oils pekee wamechomewa vituo vya mafuta 38, zipo kampuni...
  4. Munch wa Annabelle

    Ukiona jinsi panya road 40 wanavofunga mtaa wenye wakazi 12000 utajua sisi watanzania ni watu wa aina gani

    Yani unyumbu wetu unatufanya tuone au tudharau Hadi wale ambao wanajitoa kupambania haki zao Kwa namna yoyote Ile, ujinga wetu unatufanya tuone Kila anaepigana ni mjinga bila kujali anapigania Nn, Yan ama kweli sisi ni walking dead, uthibitisho wa haya angalia walichokua wanafanya panya road...
  5. DELETED ACCOUNT

    Simba hii kuna watu walikuwa wanawaita Panya Road!

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu. Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje malaika watafungwa tu. Wakaiita Simba na wachezaji wake Panya Road, just imagine mnaitwa Panya...
  6. Mookiesbad98

    DOKEZO Mbezi Beach na Tegeta Masaiti kumekuwa na tishio la vijana wa Panya Road

    Kuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga. Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba. Ni wakati wa...
  7. ngara23

    Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  8. Poppy Hatonn

    Panya Road 200 wanyongwa hadharani DRC

    Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba. Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis. Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road" Kule wanaitwa...
  9. Dalton elijah

    Wanaodhaniwa panya road waibukia Dodoma watu watatu wajeruhiwa

    Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga na kikundi cha watoto wahalifu wenye umri chini ya miaka 18 katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu, jijini Dodoma. Vitendo hivyo vimetokea baada ya watu hao kukataa kutoa fedha walizoombwa na watoto hao. Matukio hayo...
  10. Brain Kingdom

    Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  11. Azniv Protingas

    Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

    Hivi karibuni katika eneo la Buguruni kumekuwa na unyang'anyi ambao hufanywa kwenye mida ya saa 10 mpaka saa 11 alfajiri. Wezi hao wamegawanyika katika makundi mawili; kuna ambao hutembea kwa vikundi na hubeba silaha kama visu na ambao hutumia bodaboda. Wanawavizia watu ambao wanaenda kazini...
  12. M

    Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Alichoandika Peter Madeleka. Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo. Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa...
  13. Doto12

    Panya Road Tena

    Hawa jamaa wamerudi tena amekeni amkeni. Kukosa ajira na ulinzi dhaifu https://www.jamiiforums.com/threads/vyombo-vya-ulinzi-mmewashindwa-panya-road.2163327/page-2#post-48617937 https://www.jamiiforums.com/threads/mpango-wa-miaka-5-ya-kurekebisha-vijana-panya-road.2101975/
  14. R

    Nasikia Panya Road wamerejea kwa kasi DSM wanatafuta fedha ya sikukuu; chukua taadhari

    Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
  15. and 998 others

    Panya road waliovaa suti?

    Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
  16. FIKRA NASAHA

    SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  17. FIKRA NASAHA

    SoC03 Mpango wa miaka 5 ya kurekebisha vijana - Panya Road

    An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo. Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...
  18. K

    Wahalifu hawatopenda ujio wa Chalamila Dar es Salaam

    Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae. Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi...
  19. Superbug

    Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  20. U

    Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
Back
Top Bottom