BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,502
- 21,557
Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri.
Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko.
Paka wakitaka kuua lazima wamtese kwanza adui yao kwa kichapo na nakozi za makucha mpaka anatepeta nyang'anyang'a. Wana maringo sana.
Hebu cheki hapa pambano la paka na nyoka.... nyoka amebamizwa haswa. Makonzi ya kimkakati. Kichapo haswa.
Video inakuja