paka

  1. M

    Israel hawafi? Wana roho ya paka?

    Licha ya kuharibiwa vibaya miji ya Telaviv na miji mengine. Idadi ya waliokufa Isreal tunaambiwa 5. Yaani hawa wana roho ya paka? Hata wapigwe mizinga miili yao inapangua?
  2. JITU BANDIA

    Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  3. Munch wa Annabelle

    Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  4. M

    Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  5. D

    Hivi hawa paka wa migahawani wanaokustua kwa kukugusa kabisa mguuni na mikono yao Ili ujuwe kama wapo uwape chakula ni paka kweli?!!!

    Tukio la mwisho nimekutana nalo Buguruni Rozana hapa majuzi; nakula chakula nashangaa mguu unaguswa kwa namna kama ya kukustua flani hivi "oya, oyaa!". Naangalia chini nashangaa namuona paka ananiangalia....nikampotezea nikaendelea kula. Haukupita muda kanigusa tena. Mh, nikaona isiwe kesi...
  6. and 998 others

    Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
  7. BigTall

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  8. MEKADDISHKEM

    Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  9. President of China

    The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

    The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan...
  10. C

    Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  11. Damaso

    Siri nyuma ya Vita vya Paka mweupe na Jogoo mweusi

    Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
  12. Stability

    Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  13. BICHWA KOMWE -

    Pambano la Paka na Nyoka: Kichapo cha haja

    Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri. Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko. Paka wakitaka kuua lazima wamtese...
  14. keikiu

    Nokia kitochi 106 4G inauzwa

    Naziuza kwa bei ya rejareja ya Tshs 28,000 kwa pc 1 Napatikana Goba Center, kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  15. Yoda

    Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  16. DR HAYA LAND

    Ramli zimekuwa nyingi ikiwa Amepatikana wa kumfunga paka kengele mseme na sio kupiga ramli tatanishi.

    Naona since Mwezi huu uanze na issue ya Baba mpaka piko kichwani . Kinachofata ni ramli . Kama mpaka muda huu kitalu namba inne hakijalimwa msiniambie chochote kuhusu ramli . Ikiwa hakuna wa kumfunga paka kengele je kipi ni kipi Anyway mwenda kwao sio mtoro.
  17. R

    Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

    Salaam! Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe, sababu ya kuyawinda, yalizidi wizi wamboga majumbani na uharibifu uliokithiri. Yaani sie tulipoona mapaka tu jalalani, tulivizia, tukakusanya mawe yetu na kuanza kuyashambulia kwa ghafula, furaha yetu ilikuwa...
  18. Powell Gonzalez

    Hivi paka Dar wana shida gani? Yaani paka anakimbizwa na panya?

    Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona. Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
  19. M

    Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  20. The only

    UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

    Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections) Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona...
Back
Top Bottom