orodha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kazi/nafasi ambazo muda wowote unaweza kuingia matatizoni, kujaa kwenye mfumo au sifa yako kuchafuka

    1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini 3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha 4. Daktari anayehusika na wajawazito 5...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading Ltd 11. Rotana Hotel 12.J eshi la Magereza 13 . Jeshi la zimamoto 14. Kampuni za ulinzi 15. Mahakama...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gazeti la Kenya limeto Orodha ya watu 60 wanaokumbukwa kwenye maandamano ya leo 25.06.2025 Kenya. Je, gazeti gani Tanzania linaweza kufanya hivi?

    Wakuu Gazeti la Daily Nation la Kenya limechapisha orodha ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya mwaka 2024 huko Kenya ambao wengi walikuwa ni Genz. Je kuna gazeti la Tanzania linaloweza kufanya hivi? === Mwaka mmoja uliopita, Kenya ilikumbwa na wimbi la maandamano yaliyosababishwa na...
  5. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

    1. Mchungaji wake 2. Tajiri 3. Mwalimu wa mazoezi 4. Rafiki yake wa kiume 5. Daktari wa familia Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani. https://youtu.be/mukEPwaGAOo
  6. Background Check

    JamiiForums Tanzania The List | Orodha

    Hii siyo ile tamthiliya ya Orodha aliyoandika Steve Reynolds (Ile wakongwe tulijibia mtihani wa kidato cha nne laahasha. Huu ni mtimdo mwingine wa tamthiliya isiyokuwa ya kusadikima bali bayana katikati yetu; naanza na hii halafu mwenye kuongeza sawa ataongeza. 1. Job Ndugai, ilikuwa mwanzo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu ambao sio wapenda haki bali ni matapeli na wenye chuki binafsi

    1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam. Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi 2...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

    Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou Karabou (Simba) 3. Che Fondoh Malone (Simba) 4. Lionel Ateba (Simba) 5. Steve Mukwala (Simba) 6. Joshua...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila yenye lafudhi mbaya hapa Tanzania.

    1.Wachaga 2.Wakurya 3.wasukuma 4.Wamasai 5.Wanyakyusa 6.wahaya 7.Wajita 8.wasambaa 9.wapare 10.waha
  12. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi Matajiri Duniani

    💵 Top 15 Richest World Leaders currently in office 🌍 1 🇷🇺 Vladimir Putin - $200B 2 🇰🇵 Kim Jong Un - $5B 3 🇺🇸 Donald Trump - $4.9B 4 🇨🇳 Xi Jinping - $1.5B 5 🇬🇶 Teodoro Mbasogo - $600M 6 🇦🇿 Ilham Aliyev - $500M 7 🇹🇷 Recep Erdogan - $500M 8 🇷🇼 Paul Kagame - $500M 9 🇿🇦 Cyril Ramaphosa - $450M 10 🇰🇪...
  14. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

    Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young Killa 5. Mh. Temba 6. Chege 7. Rich Mavoko 8. Aslay 9. Maua Sama 10. AY 11. Fid Q 12. Joh Makini 13...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    1. Mke wa Mwalimu 2. Mke wa Mkapa 3. Wake wa Mwinyi 4. Mke wa Karume Sr 5. Mke wa Lowassa 6. Mke wa JPM 7. Wake wa Sokoine 8. Mke wa A. Jumbe 9. Mke wa I. Wakili
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  18. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya Wanachma wa TP OK Jazz ambao bado wapo hai

    1. Lokombe Ntal (mwimbaji) - Ufaransa 2. Makosso Kindudi (gitaa la rhythm) - Ufaransa 3. Flavien Makabi (gitaa la besi) - Ufaransa 4. Sam Mangwana - Angola 5. Kakoma Nado (ngoma) - Paris, Ufaransa 4. Mukulu Muki (Tarumbeta) - Brussels, Ubelgiji 5. Dele Pedro (Sax) - Brussels, Ubelgiji 6. Iblo...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Orodha ya Wachezaji 15 Wenye Majina Magumu zaidi Duniani

    Baadhi ya majina hayo ni kama 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece) 2. Jakub Błaszczykowski: (Poland) 3. Grzegorz Krychowiak: (Poland) 4. Wojciech Szczęsny: (Poland) 5. Yevhen Olehovych Konoplyanka: (Ukraine) 6. Jakub Wawrzyniak: (Poland) 7. Panagiotis Tachtsidis: (Greece) 8. Hakan Çalhanoglu...
Back
Top Bottom