online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kufosi kuishi kizungu kwa shotcut za kibongo, Nina rundo la muvi/miziki/pdf za kudownload, kuna usalama wa online backup au nitunze kwenye external ?

    Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
  2. JamiiForums Tanzania Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
  3. JamiiForums Tanzania Vyuo vya Wildlife Management Online Courses Tanzania

    Naomba kujua list ya open university zinazotoa course ya Wildlife Management online nchini Tanzania na kutoa cheti kinachotambulika
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
  5. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  6. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mikopo ya online ambayo imetapakaa Playstore

    Natumaini muwazima. Shida hazina adabu unajikuta unaingia online unaanika taarifa zako na unapewak kamkopo ka sh 20,000 interest kuuubwa. Lakini naomba kuuliza kuhusu usalama na hali halisi ya hivi vitaasisi. Naelewa ukikopa sh 10k ukakaa nayo ikazaa riba inaweza fika milioni. Kasheshe...
  8. JamiiForums Tanzania Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

    Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali. Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements. Mechi hiyo ni ya Yanga vs...
  9. JamiiForums Tanzania Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

    Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Meza niliyoagiza Meza iliyoletwa
  12. JamiiForums Tanzania Miliki Online Business kwa Gharama Nafuu

    Habari za wakti huu? Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao. Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda bidhaa zako au kuzipata kutoka kwa wauzaji na kuziuza kupitia majukwaa yako. Dropshipping: Hii ni aina ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tv online za bongo 92% hakuna ubunifu wala kutofautiana, zote zinafanana

    kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza. Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kujaza fomu ya passport online

    Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ? Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? Please ushauri wenu...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  19. JamiiForums Tanzania On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

    Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili: LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wangapi mmewahi nufaika na online loan (mkopo) kutoka Tala

    Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan. Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada katika kipindi hiki nachokipitia. Vipi wakuu Hawa Tala online loan ni really au chqnga la macho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…