ofisi

  1. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Uhamiaji makao Makuu hawajalipia huduma ya simu hivyo kuwapata haiwezekani na ofisi ya Zanzibar simu hawapokei

    Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
  2. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge David Kihenzile Achangia Milioni 10 Ujenzi Ofisi ya Kata Igowole

    MBUNGE DAVID KIHENZILE ACHANGIA MILIONI KUMI UJENZI WA OFISI YA KATA YA IGOWOLE- MUFINDI KUSINI Mbunge wa Mufindi Kusini David Kihenzile amefanya Kikao cha pamoja kilichojumuisha Viongozj wote wa Kata ya Igowole ikiwemo Wajumbe Mkutano Mkuu CCM Kata, Mabalozi, Vitongoji, Viongozi wa dini...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida akabidhi Vifaa vya Ofisi Shule za Kijitoupele na Bububu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Magharibi (UWT) amefanya ziara na ametembelea Shule ya Msingi Kijitoupele na Shule ya Sekondari Bububu kwaajili ya kugawa vifaa mbalimbali vya Ofisi katika shule hizo zilizopo Mfenesini. Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na viongozi mbalimbali...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yapiga bomu ofisi za ubalozi wa China, Ukraine

    Twende tu hivi hivi. China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said. The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows. Russia, which is...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  7. JamiiForums Tanzania Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mahakamani tunatafsiri mkataba, huku nje tutawawajibisha watoke kwenye ofisi zetu

    Mwabukusi amesema watanzania tuna wajibu wa kikatiba wa kulinda rasilimali za nchi hii. Waziri Masauni na Nape waache kutisha watu, na kwamba yupo tayari kupambana nao kisheria, akisema kuwa mkataba ni wa kijambazi, hataruhusu aina hii ya mkataba kufanya kazi nchini. Mwabukusi ameongeza kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi Ofisi za CCM Kata ya Igunga

    📍 Igunga, Tabora Video/clip Muonekano wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Igunga zinajozengwa kwa mashirikiano ya Mbunge Mhe. Nicholaus George Ngassa na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ahadi ya Mbunge kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ni kuhakikisha Kata Kumi...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wamkataa Mwenyekiti wa Kijiji. Wafunga ofisi

    Wakazi wa kijiji cha Ngelenge kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoa wa Njombe,wamefunga ofisi ya kijiji pamoja na kumkataa mwenyekiti Thomas Mkinga kwa sababu ya kushindwa kusoma taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha miaka miwili. Tukio la kufungwa ofisi limetokea julai tatu majira ya saa...
  11. JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wafunga ofisi ya kijiji wakidai mwenyekiti anahujumu uchumi wa kijiji

    Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake. Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

    Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA. Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leo Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi?

    Habarini wana JF, Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Baraza la Ardhi la wilaya ya Ubungo, ofisi zao ziko sehemu gani?

    Habari wadau. Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo. Zipo sehemu gani?
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  17. JamiiForums Tanzania Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

    1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
  18. JamiiForums Tanzania Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami. Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  20. JamiiForums Tanzania Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…