nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba movie ya action yenye story nzuri

    Nipe list ya movie za action zenye story nzuri za kuvutia. Nafikiri mmenielewa maana Kuna wengine wana vichwa vigumu ya kuelewa mada.
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

    Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika. Hii tabia inakatisha sana tamaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tractor gani nzuri kwa biashara New Holland, John Deer au Massey Ferguson?

    Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama...
  4. JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Escape from Pretoria ni nzuri?

    Kwa wale walioiona hii movie vipi ni nzuri? Na inahusu nini?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Harrier 240 na Lexus RX 300 ipi nzuri ya kununua?

    Wakuu mimi sio mtaalam sana wa magari ila hua naona kuna haya magari ya harrier 240 na Lexus rx 300 kama yanafanana kwa kila kitu. Ila kwa kua hili jukwa lina wataalam wengi wa magari ningepemda kuelimishwa kuhusu ubora na tofauti zao na bei. Ahsante.
  7. JamiiForums Tanzania Hali Ya U-Dart (MwendoKasi) Si Nzuri

    Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya. Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani. Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania TPDC mbona mnatunyima habari nzuri za ugunduzi wa mafuta Tanzania?

    Wahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo. Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere. TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

    Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  11. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya Kiroba

    wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni duka gani Kariakoo linauza friji nzuri za kisasa kwa bei nafuu?

    Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

    Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo. Muda wote wamekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Wananchi wapunguze matumizi ya sukari, kwanza sio nzuri kiafya

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutanisha wizara ya Viwanda na Biashara na wadau wa sukari nchini kuangalia uwezekano wa kushusha bei bidhaa hiyo kuelekea mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Mfungo huo unatarajiwa kuanza takriban siku tisa zijazo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation

    Ndugu Watanzania na taifa kwa ujumla, mimi leo nakuja mbele yenu kuwaambia jambo moja zito sana na kiukweli naomba mnielewe. Nawaomba tuliombee taifa letu na viongozi wetu wasasa na wazee pia. Hakuna asiyejua tunapita kipindi gani kama taifa na hakuna asiyejua kwa wakati huu mezani kwa Rais...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Elimu nzuri kuhusu corona kutoka kwa diaspora

    Video Conferencing, Web Conferencing, Webinars, Screen Sharing
  17. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kujiongezea maarifa

    Wakati huu ambao dunia inapitia wakati mgumu kutokana nchi nyingi kukumbwa na janga la ugonjwa wa corona, ambao umeathiri kwa kiasi kikubwa shuguli nyingi za binadamu Kama vile shule na vyuo kufungwa. Ningependa kutoa ushauri kwa ndugu zangu hususani wanachuo na wanafunzi kuhutumia muda huu...
  18. JamiiForums Tanzania Recording microphone nzuri

    Habari wakuu, Nataka niwe narecord audio mbalimbali kwa ajili ya podcast/ YouTube video. Ni microphone gani nzuri na cheap naweza kutumia. Nimejaribu hii ya simu naona hata haina quality.
  19. JamiiForums Tanzania Njia nzuri yakumuacha mtu unayempenda

    Habari JF Kuna binti niko naye kwenye mahusiano kwa kipindi kama cha miezi 3 Sasa kiukweli mimi nampatia vitu baadhi ambavyo viko katika ndani ya uwezo wangu takribani kama wiki 8 hivi. Sasa Mimi huyu binti simpendi ila ndo hivyo kama mnavyojua mapenzi yanakuaga hayana Ujanja. Hivyo basi Mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye kalio kubwa sura ya kawaida VS hana kalio kubwa (pasi) sura nzuri...kapuku afu anajua kazi kazi au tajiri ila hajui chochote?

    Boys .. Yupi we una mfeel sana just be honest Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri Girls Yupi we unampenda sana? Kapuku ila anajua kufanya mapenzi vizuri mpaka unachanganyikiwa? Au yule handsome,ana hela ila kufanya mapenzi kawaidaa yaan..yupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…