nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania TRMC BOND VS. I trust Bond: Ipi Bond nzuri kuwekeza?

    Uchaguzi kati ya TRMC Bond Fund yenye riba ya 11% kwa muda wa miaka 5 na i-Trust Bond Fund yenye riba ya 13% kwa muda wa miaka 4 unategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachokubali na muda unaotarajia kuwekeza. Kama unatafuta uwekezaji wenye utulivu zaidi, usalama wa mtaji na...
  2. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mtambo huu, excavator, je ipi ni nzuri na bora na imara?

    Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo! Asanteni,wasalaam. Inshaallah.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna sehemu nzuri ya kutunza watu hawa ? Au ni story?

    Habari! Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali. Huu...
  5. JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe wote niliowaona hamjitumi kazini hadi mnashindwa kumiliki magari na nyumba nzuri!

    Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha. Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  9. JamiiForums Tanzania The plane Crash that Will be Comforting the Nation in one of African Countries 2026/7

    The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit. He gives strength to the weary and increases the power of the weak. I urge… that petitions, prayers, intercession and thanksgiving be made for all people— for kings and all those in authority, that we may live peaceful and...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Tanga mjini jirani na stend

    Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
  11. JamiiForums Tanzania Andekeni nyuzi nzuri ila punguzeni mahaba ndani yake

    Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪 Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta...
  12. JamiiForums Tanzania Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

    Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  14. JamiiForums Tanzania Brake fluid tester nzuri kwa usalama wa gari lako

    🔥 BRAKE FLUID TESTER – Chombo Muhimu kwa Gari Lako! 🔥 Epuka hatari barabarani! Hakikisha brake fluid yako iko salama kwa kutumia kifaa hiki rahisi na chenye uhakika. ✅ Inapima kiwango cha maji kwenye brake fluid ✅ Rahisi kutumia – weka tu na soma matokeo ✅ Inafaa kwa magari mengi (DOT3, DOT4...
  15. JamiiForums Tanzania Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

    Habari zenyu, poleni na majukumu Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho. 2026 nimerudi ila...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

    Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho? Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi suburbs Nimeweka picha kueleza kwa nini nahisi Marekani ndio nchi yenye mandhari mazuri kwa upande...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  19. JamiiForums Tanzania Application nzuri ya kufownload movies free kwenye Computer/Laptop

    Habari wadau. Nilikuwa natumia hii moviebox ..... Sasa naona hakuna option ya kufownload yaani ni shida. Msaada tafadhali app nzuri... Isiyotumia torrents.... Asante.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…