nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  2. Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

    Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara. Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi...
  3. C

    Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  4. K

    Ofisi gani nzuri lakini ina vyoo vibovu?

    Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana. Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina...
  5. INAUZWA Meza nzuri ya kusomea inauzwa

    Nauza meza ya kusomea/kuandikia bei chee - Temeke, Dar es salaam. Bei: 60,000/-
  6. R

    Tuition centre ipi hapa Dar es Salaam ni nzuri kwa Masomo ya science O level?

    Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
  7. Template nzuri ya CV

    Hi guys, naomba mwenye sample ya CV nzuri anisaidie. Nachohitaji ni ile format/template nzuri nimejaribu kugoogle ila sipati kile kitu nahitaji. Unaweza nitumia kwa email stevhinoz@gmail.com
  8. M

    Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  9. Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  10. Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  11. The Sea Beast ni animation nzuri sana. Nimependa wametumia mtoto mweusi.

    Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa zinachangia sana kujenga watoto kujithamini nk. Hii nafikiri itasumbua kwenye Oscar za 2022.
  12. Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  13. Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  14. Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  15. M

    Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  16. NECTA ACSEE RESULTS: Shule zilizoongoza kwa kila mkoa, wazazi mjue shule nzuri sasa

    NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA 1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL 2.TABORA-TABORA BOYS 3.SIMIYU-MKULA SECONDARY 4.KILIMANJARO-USANGI DAY 5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY 6.KAGERA- KEMEBOS 7.ARUSHA -KISIMIRI 8.Manyara-Dareda secondary 9.Tanga-mkindi secondary...
  17. Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  18. M

    Maombi ya ushauri wa kufanya field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  19. M

    Maombi ya ushauri field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  20. Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…