Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model.
Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu.
Nimepeleka gari kwa fundi hivi sasa tunaenda week ya 3 bdo2 ana hangaika nayo, nahisi hata control box wameunguza wao nikapeleka kuchomelea but haikufanya kazi 100%, now nmenunua mpya kwa gharam kubwa imewekwa, shida ilianzia nilipowaambia wasafishe engine, mpk sasa engine ishafunguliwa mara 3, na kuna mda walisahau bolt juu kweny piston ya engine.
Nimechoshwa sasa, natafuta garage nzuri kwajili ya hizi gari zenye umeme mwingi, hiyo gerage iwe na usalama mkubwa ili niweze kuacha gari yangu nikiwa na amani.
Mafundi wengi wanajinyima riziki wao wenyewe.
Namba ya sim: 0783 242247 (ipo watsapp pia)