Security cameras nzuri

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,952
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma).
Nataka kufunga maeneo matatu.
Asanteni.
 
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi....ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma).
Nataka kufunga maeneo matatu.
Asanteni.
Zilizoondolewa VIP house area D, Dodoma. (kwa LISU), ni nzuri na rahisi kuzihamisha.
 
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma).
Nataka kufunga maeneo matatu.
Asanteni.
Unafunga zile za ndani sebuleni, vyumbani etc ama zile za Nje?
 
HIK Vision ndo zatumika sana.

Gharama za kufunga Camera 4 huwa ni Chini ya 1,000,000
Hapo ni gharama za Kamera, Conduit, Waya etc

Kamera 8 huwa ni chini ya 2mil

Kamera 16 ni 3mil

Hapo wamejumuisha gharama zote, unapewa na monitor, router utanunua wewe kama utataka remote view
Weka mawasiliano Mkuu
 
Hizi bei mkuu umezizidisha kidogo, zipo chini ya hapo.
Nimefunga HIK Vision nyumbani, DVR ya kubeba kamera 8 lakini niliweka kamera 6, ngarama yake ilikuwa jumla ni kama laki 9 na ushee. Ilibidi kununua monitor, na router pia ambayo ilifanya gharama jumla kuwa kama milioni 1 na labda laki 1 au 2.

Nimeongeza kamera moja ya ndani juzi kwa kama elfu 60 tu.

DVR yenye kubeba kamera chache ni gharama nafuu zaidi ya hiyo.

Nje ya mada: Nimenasa matukio zaidi ya manne ya wizi. Nimeibiwa mara kadhaa. Nilitumia muda mrefu kumsaka kibaka mmoja aliyeiba vitu vingi ndani mpaka nikamkamata. Nimempeleka polisi ili nipate msaada wa kurejesha vitu alivyoiba vya gharama ya zaidi ya milioni 2 lakini nilipigwa matukio huko na maaskari, mwizi akapelekwa mahakamani nikapigwa matukio mahakamani mwizi akaachiwa nikabaki nimeduwaa tu na video zangu za mwizi akiniibia. Sitaki kusema mengi sana lakini kiujumla kamera zitakusaidia mtoa mada ila baada ya tukio kuwa makini na sheria. Kama kuna uwezekano wa kutatua matatizo nje ya vyombo vya sheria fanya hivyo, ikishindikana kabisa ndipo uende huko.
 
Sawa mkuu
 
Mkuu pole sana ndio nchi yetu ilivyo tuko kama mazombi, nadhani ndio maana inaitwa bongo, bongo lala, ingekuwa kwa wenzetu huko hadi fidia ungelipwa ila kibongo bongo wee ndio inabidi umlipe huyo kibaka. Usishangae maaskari nao wanakuangalia kwa jicho la husda kwamba huyu boya hadi ana cctv atakuwa wakishua huyu inabidi tugawane hizo njuruku.
 
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma).
Nataka kufunga maeneo matatu.
Asanteni.
Tafuta za bulb kazi kwisha, 360 degrees panorama view, mtu anadhan bulb kumbe camera. Af ni rahisi inaconnect na app kama unataka kustream au unaweka sd card inakua inarecord. kkoo nadhan ni 85k kwa piece
 
Hizi bei mkuu umezizidisha kidogo, zipo chini ya hapo.
Nimefunga HIK Vision nyumbani, DVR ya kubeba kamera 8 lakini niliweka kamera 6, ngarama yake ilikuwa jumla ni kama laki 9 na ushee. Ilibidi kununua monitor, na router pia ambayo ilifanya gharama jumla kuwa kama milioni 1 na labda laki 1 au 2.

Nimeongeza kamera moja ya ndani juzi kwa kama elfu 60 tu.

DVR yenye kubeba kamera chache ni gharama nafuu zaidi ya hiyo.

Nje ya mada: Nimenasa matukio zaidi ya manne ya wizi. Nimeibiwa mara kadhaa. Nilitumia muda mrefu kumsaka kibaka mmoja aliyeiba vitu vingi ndani mpaka nikamkamata. Nimempeleka polisi ili nipate msaada wa kurejesha vitu alivyoiba vya gharama ya zaidi ya milioni 2 lakini nilipigwa matukio huko na maaskari, mwizi akapelekwa mahakamani nikapigwa matukio mahakamani mwizi akaachiwa nikabaki nimeduwaa tu na video zangu za mwizi akiniibia. Sitaki kusema mengi sana lakini kiujumla kamera zitakusaidia mtoa mada ila baada ya tukio kuwa makini na sheria. Kama kuna uwezekano wa kutatua matatizo nje ya vyombo vya sheria fanya hivyo, ikishindikana kabisa ndipo uende huko.
haaahaaaa story yako ya mwisho imenikumbusha jamaa fln hv hapahapa bongo aliibiwa ila asbh akamuona mwizi kwa cctv, kilichofuata jamaa alipanda gari yake akaenda vijiweni alipompata huyo teja alimpa kipigo palepale cha mbwa mwizi. Akamaliza akaondoka zake, nadhan hakutaka hayo mambo ya sheria
 
Namuelewa sana, binafsi baada ya niliyopitia sidhani kama nitapitia tena mambo ya kisheria kwa namna hiyo kama nilivyopita mwanzo.
 
Hizi bei mkuu umezizidisha kidogo, zipo chini ya hapo.
Nimefunga HIK Vision nyumbani, DVR ya kubeba kamera 8 lakini niliweka kamera 6, ngarama yake ilikuwa jumla ni kama laki 9 na ushee. Ilibidi kununua monitor, na router pia ambayo ilifanya gharama jumla kuwa kama milioni 1 na labda laki 1 au 2.

Nimeongeza kamera moja ya ndani juzi kwa kama elfu 60 tu.

DVR yenye kubeba kamera chache ni gharama nafuu zaidi ya hiyo.

Nje ya mada: Nimenasa matukio zaidi ya manne ya wizi. Nimeibiwa mara kadhaa. Nilitumia muda mrefu kumsaka kibaka mmoja aliyeiba vitu vingi ndani mpaka nikamkamata. Nimempeleka polisi ili nipate msaada wa kurejesha vitu alivyoiba vya gharama ya zaidi ya milioni 2 lakini nilipigwa matukio huko na maaskari, mwizi akapelekwa mahakamani nikapigwa matukio mahakamani mwizi akaachiwa nikabaki nimeduwaa tu na video zangu za mwizi akiniibia. Sitaki kusema mengi sana lakini kiujumla kamera zitakusaidia mtoa mada ila baada ya tukio kuwa makini na sheria. Kama kuna uwezekano wa kutatua matatizo nje ya vyombo vya sheria fanya hivyo, ikishindikana kabisa ndipo uende huko.
Umenunua kamera HD za elfu 28 1MP hizo zipo camera za kisasa full color quality hali ya juu tazama hiyo picha hapo ni 8MP
20220629_170034.jpg
 
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma).
Nataka kufunga maeneo matatu.
Asanteni.
Unaishi sehemu gani? Na unataka kufunga siku gani? Ni PM kwa namba yako tuyajenge.
Camera zinatofautiana kuna 1MP, 2MP, 4MP, 5MP pia kuna black and White , colored etc. Kwa kweli inategemea unataka kufunga wapi na budget yako, Technician akifika site ndio anaweza kukushauri vizuri kutokana na mahitaji yako.
 
Back
Top Bottom