Hii si reflection nzuri kwa nchi yetu

Hii si reflection nzuri kwa nchi yetu

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
314
Reaction score
546
Wakuu

Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe
yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin watu wanapata hofu na mashaka juu ya uhai wake na afya yake kwa ujumla

hili jambo sio zuri kabsa kwa mustakabal wa nchi yetu
hii sio nchi ambayo nyerere na karume waliiota ije kuwa
 
"The Rule of the jungle"; Nchi isiyo na KATIBA inayoeleweka, hata ile iliyopo haifuatwi. Kila ajaye anataka kufanya yake. Kuna mmoja ndiyo alianzisha akapiashe madawa ya kulevya, kaja mwingine kaanzisha kupiga risasi watu wanaombishia, kaja huyu anateka na kuua. Nchi haieleweki inaenda wapi
 
Wakuu

Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe
yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin watu wanapata hofu na mashaka juu ya uhai wake na afya yake kwa ujumla

hili jambo sio zuri kabsa kwa mustakabal wa nchi yetu
hii sio nchi ambayo nyerere na karume waliiota ije kuwa
Huu ujumbe utume direct kwa Abdul, Samia na Jajaya kwani ndiyo wanaoendesha kila unachokiona na kusikitishwa nacho.
 
nchi bado ipo kulekule ukikamatwa hakuna maelezo zaidi ya kuambiwa unahitajika kituo cha kati
 
Back
Top Bottom