nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Katika Michezo 5 ya hivi Karibuni Mashujaa wana Form nzuri kuliko Simba na Msimamo unaonekana

    Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
  6. African Geek

    JamiiForums Tanzania Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa hadithi nzuri na ya mfano miongoni mwa Watanzania

    Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

    Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  10. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 6A inauzwa kwa bei nzuri

    Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition. Ram 6 GB Internal storage 128 GB Single sim card Size 6.1 inches Network 5G Bei 500,000/= Protector cover bure Nipo Tabata Segerea
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC here is why?? # Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

    Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana. Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
  13. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera Profesa Ndakidemi kwa kazi nzuri

    Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi huyo anaonekana mwaba kweli kweli,anapambana kuhakikisha anaziba masikio ili atekeleze ahadi zake...
  17. African businesses

    JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Generator gani ni nzuri?

    Habari ndugu Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe. Karibun ndugu kwa ushauri
  20. M

    JamiiForums Tanzania Collabo ya Nandy na Kiba ni nzuri sana kuliko ya Mondi na mr blue

    Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana. Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi. Pia chemistry ya Kiba na Nandy ipo vema sana kwasababu wote ni wanamuziki wenye personality yenye...
Back
Top Bottom