Collabo ya Nandy na Kiba ni nzuri sana kuliko ya Mondi na mr blue

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana.

Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi.

Pia chemistry ya Kiba na Nandy ipo vema sana kwasababu wote ni wanamuziki wenye personality yenye maadili mazuri na staha kuanzia kimuonekano hadi uongeaji , tofauti na chemistry ya Mondi na Zuchu ilivyo ya kihuni/gangster kuanzi muonekano , mavazi na uongeaji.

Nandy endelea hivyohivyo kufanya Muziki wako kwa Staha na maadili, usipande jukwaani kuimba na kuonyesha vimatako na chupi kama Zuhura

So far Mondi kwa ukubwa ktk tasnia ya Muziki amefanikiwa saba kuliko wenzake.
 
Tuache Unna, Mapoz siyo nyimbo nzuri kiivo lakini huwezi ilinganisha na ule ushubwada wa Nandy X Kiba.
Mapoz ina creativity ya hatari sana upande wa Video, Audio si saana maana wamesample.
Nikirudi kwa Dah ya Nandy ni Audio ya kawaida na Video ya hovyo.

Mathematically; (6:4 = Mapozi : Dah)
 
Asante Kwa uchambuzi mzuri
 
Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi.
Kwanini watu tunakerwa na na mtu kupigia debe bidhaa/huduma yake iuze sokoni?!!

Infact mifumo ya kuPromote bidhaa yako au huduma ipo wazi kwa kila mtu kutumia, hela yako tu.
 
Back
Top Bottom