Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

Agent Smith

Member
Joined
Jul 2, 2026
Posts
55
Reaction score
129
Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu.

Mawasiliano: whatsapp 0749343929

IMG_20260529_191046.jpg
 

Attachments

  • IMG_20260529_190656.jpg
    IMG_20260529_190656.jpg
    347.7 KB · Views: 3
  • IMG_20260520_211100.jpg
    IMG_20260520_211100.jpg
    396 KB · Views: 3
  • IMG_20260518_185721.jpg
    IMG_20260518_185721.jpg
    384.7 KB · Views: 4
  • IMG_20260518_184828.jpg
    IMG_20260518_184828.jpg
    575.4 KB · Views: 4
Namba 3 na ya mwisho bei gani? Uko wapi?
Picha namba 3 bei yake ni shilingi 15000. Size ya mguu ni 40, ni pure leather
IMG_20260520_211123.jpg

Picha ya kiatu cha mwisho bei ni shilingi elfu 30, size ya mguu 43. Ni ngozi tupu pia soli yake ni imara sana, na sehemu ya kukanyagia sio ngumu kwahiyo unaweza kuwa huru kutembelea hata umbali mrefu bila kuumiza unyayo na kisigizo.
IMG_20260518_184828.jpg


Bei zetu ni elekezi. Tupo kimara, stop over karibu na sheli ya rupeez. Whatsapp 0749343929
 
Weka picha za size 45, bei, mahali ulipo na uaminifu ukuongoze mkuu
Sawa sawa mkuu. Location ni kimara stop over upande wa kutokea ubungo kwenda mbezi. Ukifika kituo cha kimara stop over ni mwendo takribani dakika tatu tu kwa miguu kufika dukani kwetu.

Kwa sasa naona size 45 hamna. Size kubwa zaidi tulizonazo ni 44 kama hizi pichani.
IMG_20260522_183902.jpg

Zitakapopatika size 45 nakuakikishia utakua mtu wa kwanza kupewa taarifa pamoja na picha
 

Attachments

  • IMG_20260522_185516.jpg
    IMG_20260522_185516.jpg
    545.9 KB · Views: 4
  • IMG_20260529_191010.jpg
    IMG_20260529_191010.jpg
    336.7 KB · Views: 3
  • IMG_20260529_191018.jpg
    IMG_20260529_191018.jpg
    540.5 KB · Views: 4
Kwa sasa naona size 45 hamna. Size kubwa zaidi tulizonazo ni 44 kama hizi pichani.

Mzee baba kama hauna size 45 ni bora ufunge tu duka...(joking)

Wauza viatu na sandals sijui kwa nini huwa mnakosa size kubwa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom