Mfumo nzuri wa mauzo ya stationery

Mfumo nzuri wa mauzo ya stationery

Joined
Aug 31, 2017
Posts
31
Reaction score
35
Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na sometimes Bei ya printing au copy zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine means profit zitakuwa tofauti. Wenye uzoefu na system nzuri watujuze hata ushauri pia. Nawasilisha
 
Tumia mfumo unaitwa SmartBusiness, unakuwezesha kuuza bidhaa pamoja na huduma, kwenye upande wa huduma unapata option ya kujaza gharama za huduma pia
 
Kwa ufupi buashara ya stationery hata ukabe vipi, utapigwa tu. Kwenye bidhaa unaweza kudhibiti kwa sehemu fulani.
Ukija kwenye kutoa huduma na ambako ndiyo kuna hela, upigaji hufanyika kwa urahisi. Mfano mtu amescan page 10, huwezi kugundua kwa urahisi.


Kwa ujumla biashara yoyote ile ili ikuletee faida inayostahili, inahitaji usimamizi makini sana. Ikiwezekana simamia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom