MR MD BONIFACE
Member
- Oct 25, 2017
- 34
- 32
message nzuri ila ina a lot engineering error , iko shallow marketing but in engineering sense it is chaos hakuna good logic flow
Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani.
Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani wanapata hela. Ila kwa ulimwengu wa sasa unaweza wewe kuwa hiyo kampuni hata kama huna hela. Unaweza anza biashara yako mwenyewe
Well kwa wanaonijua toka 2019 nimekua nikihubiri vijana watumie vizuri Technologies na Social Media kujipatia kipato.
Inawezekana? - NDIO...

- gabylovestech
- canva chatgpt kazi kutumia online siku vijana wanachuo
- Replies: 12
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali