nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

    Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe. Nani walihusika? Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jesca Magufuli sina amani, nawindwa mpaka Nyumbani

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likiwa na ujumbe wenye nukuu inayosema “ Jesca Magufuli sina amani nawindwa mpaka Nyumbani”je ni upi ukweli wa chapisho hili
  3. JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Ni marufuku kumrudisha mtoto nyumbani kisa mchango

    Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Unakumbuka siku umeanza kujitafuta ukaona uhame nyumbani uamie kwa ndugu ukiamini itakua vyepesi kutoboa je ilikuaje ulipofika kulisaka life

    Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama upo baa na ndugu comrade kipepe mwambie muhudumu sasa imetosha, mwamba akampumzike nyumbani

    Aisee mwamba anaandika nyuzi kila baada ya dakika 2 duh alafu mambo hayaeleweki😁
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition – mafunzo bora ya nyumbani

    Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako: Hajasoma wala kuandika vizuri? Anapata tabu kuelewa masomo darasani? Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote? Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza? Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Tusikubali kupiga nyumbani tulikozaliwa, watakaoathirika ni watoto, wazee na kina mama

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema hayo akiwa wilaya ya Mkalama mkoani Singida.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa kituo cha Polisi Bunju mlizingua, mliyemrudisha nyumbani kafariki kwa kipigo

    Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  11. JamiiForums Tanzania Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Mimi huyo Pale nimeshinda mtaani halafu mikono imezoea kuchezea cement, najenga chochote tu 🤣 +255624254690
  12. JamiiForums Tanzania Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

    Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi. "Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

    Tusemezane Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?
  14. JamiiForums Tanzania Shilole: Naanza kupikia nyumbani Sasa hivi 'Inaniumiza sana'

    Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma. "Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

    Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu. Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale. Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekutuma ushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza, kaa nyumbani tafakari

    "Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
  17. JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Mwanaume anayesema 9 Disemba hatuandamani, Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako

    Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z ============ Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako" Mtoto wa kwanza wa mwalimu Nyerere 😃
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu dada alichukuliwa na Polisi akiwa nyumbani hajarudi mpaka leo

    Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…