nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Makonda kabla ya kuudanganya umma kuhusu punguzo la bei ya nguo, tueleze kuhusu punguzo la kodi za nyumba kama ulivyoagiza

    Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana . Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Picha zake tangu ujenzi hadi kukamilika Bei chee!

    Folks hapa bei utajipangia mwenyewe karibu sana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

    Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70. Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

    Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania. Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tunza pesa yako, muda si mwingi nyumba itauzwa hadi kwa milioni 1-2

    Katika mambo muhimu mwanadamu anatakiwa kuwa nayo mojawapo ni kuwa na macho yaonayo mbele sana, macho ya kufanya forecasting. Ukiwa na macho hayo utaweza kuepuka hasara nyingi. Utaweza kujua sasa ni wakati wa kulima matikiti, vitunguu au nyanya na hautalima tu maadamu Juma kavuna nyanya nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

    Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu. Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui. Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99. Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuwafukuza wapangaji wasumbufu na wachafu kwenye nyumba yangu

    Jamani naomba msaada niwafukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu. 1. Mmoja hajalipa kodi miezi mitano 2. Wapili hajalipa miezi miwili 3. Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi. Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimi great thinker mwenzenu naionea...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha kuanza kubana baada ya Pasaka, wajumbe wa nyumba 10 ndo wakati wao wa kujitambua

    Wajumbe wa nyumba 10 ndo wawakilishi wa kwanza wa serikali katika maeneo yetu. wajbe wa nyumba kumi wanatambua watu wao na kazi yao ya kutambua watu wao ni rahisi kuliko askari alieko katika kituo cha polisi. Wakati serikali imeanza kuchomoa makucha yake kidogokidogo kuelekeza kwa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

    Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

    Napendekeza katika hali ya dharura sana, serikali itangaze kuanzia jumamosi hii iwe ni marufuku kwa mtu yeyote kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa au scarf, na kama ana uwezo wa kununua barakoa basi avae barakoa. Japo barakoa/ scarf haikukingi moja kwa moja na maambukizi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ipo Pugu - Kinyamwezi

    Habari wanabodi? Ni matumaini yangu kwamba mko salama kabisa. Aidha, nawapongeza kwa mapambano makali dhidi ya huu ugonjwa wa korona. Kadhalika, tuendelee na utaribu wetu wa kuhakikisha tunanawa kwa maji tiririka na sabuni ili kujikinga na hili gonjwa. Pia inatupasa tumtangulize mbele...
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ilioezekwa nusu inauzwa, Kibaha mjini

    Habari wakuu, Nyumba inauzwa , mahali ilipo ni ni miembe saba, Kibaha mjini , ni nyuma ya tatu toka sheli ya panone , opposite kiwanda cha kusindika chakula cha kuku na binadamu cha Energy. Sifa zake: 1. Eneo kubwa la uwanja limebaki kiasi cha miguu 20 kwa 70 2.Kuna vyumba vinne vyote vikiwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaendelea kwenda kwenye nyumba za ibada huku kukiwa na tishio la corona,wana tofauti na waliokuwa wafuasi wa Kibwetere?

    Wakati tunashuhudia mataifa mengine yakizui mikusanyiko zikiwemo ibada na kukiwa na mifano ya madhara ya watu kuambukizwa corona kupitia mikusanyiko ya ibada(mfano huko Korea kusini),binafsi napata wasiwasi na kujiuliza swali lifuatalo: Wanaoendelea kwenda kwenye nyumba za ibada huku...
  16. JamiiForums Tanzania Juu ya kaburi la baba mdogo kuna nyumba imejengwa. Je, nifanye nini?

    Naomba msaada wa mawazo, kaburi la baba yangu mdogo lilikaa muda mrefu bila kusafishwa. Hakuzwikwa makaburini ila kwenye kiwanja cha familia. Alifariki 1982/3. Eneo lile mji uliposogea ndugu wakapauza. My father passed away watoto wa marehemu wapo ila hawajasoma hivyo hawajui waanzie wapi...
  17. JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

    Wanabodi, Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa nyumba iliyoungua moto

    Habari zenu wadau:- Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea. Je naweza kuanzisha kesi ya madai? Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Serikali kukataza watu kutoka kwenye nyumba zao kupambana na Covid-19

    Ukweli ni kwamba kuna watu lazima tutoke ndio tupate angalau kidogo cha kulisha familia. Ikatokea serikali imechukua hatua kama za Rwanda, Kenya na nchi nyingine zilizoamua kuchukua hatua ya Lockdown basi ni kiama kwa baadhi yetu. Majuzi nilikuwa naongea na Dereva daladala mmoja anasema sasa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Kuanzia wiki inayonza kesho tunaweza kushuhudia kushuka kwa idadi ya waumini ktk nyumba za Ibada na mikusanyiko mingine ya kidini

    Hivi ndivyo navyoweza kusema/kutabiri kutokana na ukosoaji mkubwa unaoendele kufuatia hotuba ya Mheshimiwa sana aliyoitoa leo hii. Watu wanakosoa na hapo hapo wanatoa elimu(tahadhari) kwa umma wakitumia mifano hai ya yanayoendfelea katika nchi za wenzetu hivyo wanasaidia sana kuonya na kuamsha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…