nyumba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba na ujenzi

    Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services are of great value. contacts: 0654003555 mail:doltuarch@gmail.com
  2. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
  3. No Escape

    JamiiForums Tanzania Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mvua ya masaa 2 Dar yasababisha nyumba 20 kuezuliwa mapaa

    UPEPO mkali na mvua iliyoandamana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi. Tukio hilo la aina yake limetokea masaa mawili yaliyopita ambapo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta' mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu nchini kusakwa nyumba kwa nyumba

    Serikali imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba za kulala wageni, stesheni za mabasi, stesheni za reli, mahoteli, mialo ya uvuvi pamoja na maeneo yenye muingiliano wa shughuli za...
  6. Miss Mbeya

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba

    Hi
  7. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

    Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
  8. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Milioni 26. Ipo Mbezi Mwisho, eneo la Msakuzi

    Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu. Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35...
  9. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora

    Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
  10. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Madalali wa nyumba, viwanja kuwa na leseni

    SERIKALI imetoa onyo kwa madalali na waendesha minada wote nchini, wanaoendesha shughuli hizo bila ya kuwa na leseni, kuwa kuanzia sasa atakayebainika hatua kali zitachuliwa dhidi yake. Madalali hao ni wa nyumba, viwanja, mahakama, usafiri na magari na kampuni zinazoendesha minada. Pamoja na...
  11. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi 30mil

    Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo ...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwenye nyumba amuua mpangaji kwa kumdai takriban Tsh 57,000

    Mwenye nyumba Ngángá Gitau, amemchoma visu mpangaji wake hadi kufa Warren Jirongo (26) baada ya kushindwa kulipa kodi ya mwezi Januari Wakazi wa eneo hilo wamemzonga mwenye nyumba huyo kwa hasira na kuchoma nyumba zake moto baada ya yeye kumuua kijana huyo Kijana huyo ni yatima ambaye alikuwa...
  13. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alipost ana nyumba mbili za kupangisha Chanika na moja Banana naomba namba yako

    Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

    Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea. Akizungumzia tukio hilo kwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kama baba kaikimbia nyumba, nini hatma ya kijana mwenye ndoto?

    Halo JF siasa. Ktk Uzi huu sitamtaja mtu na hivyo wachangiaji pia wasitaje jina la mtu. Inafahamika wazi nini kinachojiri ktk familia kubwa pendwa nchini. Kuna wababa wawili wanadhamiwa kuikimbia familia hii. Baba moja machachari ameacha kijana wake ktk familia hii kubwa. Kijana si haba...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mnyarwanda yachomwa moto kwa kujihusisha na biashara ya nyeti za binadamu

    Hii imetokea nchini Malawi ambapo inadaiwa Mnyarwanda mmoja aishie nchini humo na ambae ni tajiri aliejenge jumba kubwa mjini humo, alikuwa akiua watu hususani wanaume na kuwanyofoa sehemu zao za siri na kuzipeleke South Africa. Sasa amesanukiwa akakamatwa alipobanwa amesema kilakitu na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Nyumba za Walimu zageuzwa danguro

    Majengo mawili ya nyumba za walimu ambayo ujenzi wake haujakamilika katika Shule ya Sekondari Mwasele, Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, yamedaiwa kugeuzwa danguro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kupewa ujauzito na kuacha masomo. Diwani wa Kambarage, Hassani Mwendapole, alipaza...
  18. Muislaam

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbagala

    Ipo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank. Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
  19. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unavyonunua nyumba iliyokamilika, yasikukute haya

  20. mayowela

    JamiiForums Tanzania "Times FM" Nyumba ya Mapito

    Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila...
Back
Top Bottom