nyumba

  1. D

    Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  2. S

    GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  3. RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Mvua yaacha vilio Dar WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
  4. Dalili aliyemtafutia nyumba Kipanya amezima simu!

  5. E

    Jinsi ya kujua idadi ya mbao zinazohitajika kwaajili ya kuezeka nyumba

    Hi guys, Hello everyone, I'm Ellyskywilly. As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing. So for that case, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I've...
  6. Fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba nipo hapa

    Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:- Nyumba za makazi (single storey na double storey house) Nyumba za biashara Ujenzi wa mabwawa na Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu PIA Nafanya renovation ya kubadili nyumba...
  7. Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

    Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani. Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana...
  8. GE2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote. Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo. "Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai...
  9. Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  10. Y

    Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  11. Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

    Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...
  12. Wale waliozungusha uzio nyumba zao na hawana eneo la kuchimba shimo la takataka ,hivi takataka wanatupa wapi

    Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
  13. T

    GE2020 Joseph Mbilinyi (Sugu): CHADEMA ikichaguliwa kuongoza sadaka zitaongezeka kwenye nyumba za ibada

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama hicho ili wananchi waweze kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada. Sugu aliyasema hayo kwenye mkutano wa...
  14. E

    Ramani kali ya nyumba ya kuishi

    Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
  15. E

    Ramani bomba ya paa la nyumba

    Habarini za wakati na wasaa huu wana jamii forum. Basi leo nimekuja na ramani bomba ya paa la nyumba kama inavyoonekana katika picha hizi.
  16. E

    Ramani maridadi ya nyumba ya kuishi bado inaendelea kuchorwa

    Habari za leo wadau, Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost ramani ya nyumba ile ambayo naendelea kuchora. Hivyo hapa ndipo nilipo ishia. Ila bado naendelea nayo kila napo pata muda.
  17. Self-Contained Houses: Kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately"? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana? Yaaani yale...
  18. Bushmamy mwenyewe live ndani ya nyumba

  19. E

    Uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba

    Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba. Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo nilipofikia kwasasa. Ila bado haijamalizika bado naendelea kuipamba zaidi.
  20. Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…