nyumba

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

    Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Nyumba za Bei Nafuu za Malipo Kiduchu Kila Mwezi Huko Kigamboni!!

    Inakaribia mwaka mmoja sasa mshikaji wangu wa karibu kabisa alipofika home na kuniambia kuhusu JPM kutaka kujenga nyumba za bei za nafuu kwa ajili ya wavuvi huko wilayani Kigamboni!! Ndugu yangu huyu akanieleza kwamba, wavuvi hao walitakiwa kufungua akaunti benki na kuweka kiwango cha pesa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

    Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana. Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi? Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba ya mbao na saruji inapendeza

    Ukifanikiwa kujenga nyumba hii hakikisha au muombe Mungu usiwe na marafiki wanaonunua petrol mkigombana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba ikiuzwa bei poa sana jiulize ni kwanini, huyu yamemkuta

  10. C

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti. Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana...
  11. JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Wakuu poleni na majukumu Naomba kuhuliza kwa budget ya milioni 15 naweza kujenga nyumba kama hii?? ukitoa gharama ya kiwanja
  12. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Nimewaomba TANROADS wawape muda zaidi wakazi wa Kimara kabla ya kuwabomolea nyumba zao!

    Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara. Mkumbo amesema kwa kuanzia amewaomba Tanroads kuwaongezea muda wakazi hao ili kupisha majadiliano ya msingi yafanyike. Prof...
  13. JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  15. JamiiForums Tanzania Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
  16. JamiiForums Tanzania “PUBLIC TOILET” Ni sahihi kuita Choo cha nyumba binafsi Public toilet?

    Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi. hii imekaa sawa?
  17. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  19. JamiiForums Tanzania Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, achomewa nyumba na wananchi

    Baadhi ya wananchi wa kata ya Sokoni 2 halmashauri ya Arusha leo Ijumaa Julai 9, 2021 wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, Benjamin Mollel kwa maelezo kuwa ameshinda kesi mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…