Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,698
Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe.

Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote kwa kufilisiwa baada ya kuachana na mkewe Thando Maseke ambaye ni raia wa Afrika kusini.

Taarifa zinaeleza kuwa Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Zimbabwe aliandikisha mali zake zote ikiwemo Nyumba na magari ya kifahari kwa jina la Mkewe na hivyo kufuatia mgogoro baina yao alitimuliwa kwenye Nyumba waliyokuwa wakiishi Jijini Johenberg.

Tendai Ndoro.JPG

Tendai Ndoro na Thando Maseke enzi za ndoa yao

 
Yani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.

Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.

Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.

Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
 
Unapoishi nao unakuwa kama rofa fulani hivi hohehahe huna kitu, lakini cha ajabu familia inasoma, inakula na mambo yanaenda...

Usisahau kuwa na stock zako maeneo mengine kwa ajili ya pocket money yako hela ya kula Bata, kikiwaka unasepa unamuachia mji na watoto, anashangaa unalipa ada na matumizi huku ukiendelea kula bata uraiani....
 
Hizi Sheria za ndoa zingine zinatia ukakasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sheria yoyote, ni yeye mwenyewe ndio alimpa hivyo vitu.

Kama anacheza Orlando pirates maana yake anaishi SA kihalali, kwahiyo ana access ya kufanya lolote kwa jina lake na isitoshe kwao Zimbabwe siyo mbali, unaweza kurudi Zimbabwe weekend ukarekebisha mambo yako na kugeuza SA.
 
Vijana muwe watu wa kuchakata huku na kule ili kupata experience ya haya mambo otherwise watawatesa hawa watu..... ukiwa mkongwe hawa huwa hawasumbui sana maana wanajua mhuni either akupige talaka au asepe abaki analea familia huku akiendelea kuchakata wengine uraiani huko maisha yakiendelea swaafi kabisa...
 
Back
Top Bottom