nyumba

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Yanga na pori la nyuma ya nyumba

    Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...
  4. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa chaguo la ujenzi wa nyumba

    Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi. Nyumba A Nyumba B
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nje ya nyumba ya Rais Mstaafu Mwinyi, Mikocheni mitaro imejaa maji, imeziba

    Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu. Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

    Wataalam rangi za kampuni gani ni nzuri kwa kupaka nje ya nyumba? Rangi iwe nyeupe na ambayo haitaweka ukungu. Pili, bei zake kwa ndoo ya litre 20 na wastani ina cover sqm ngapi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  9. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

    Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake. Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania Dar: Wakazi wa Nyumba za NSSF Kigamboni, watolewa kwa Mabavu

    Salaam Wakuu, Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma. Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  15. Going Concern

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM waliamua kujiuzia nyumba za serikali.

    Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali? Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi...
  17. agent 89

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach (Stand alone)

    Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
  18. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu 1. Ina floor area (BuiltUp area=...
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kuta za ndani za nyumba na Sakafu kuwa na baridi

    Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi au kubazi. Je, hii ni hitilafu ktk mfumo wa maji kupelekea kuta kulowa na kuwa baridi au imekaaje...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

    Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Back
Top Bottom