nyumba

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them. Ili...
  2. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

    Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari. 2023...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  7. Lwimiko fundi water proof

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kuziba sehemu zinazovuja majumbani na kwenye mabwawa ya kuogelea

    Fundi wa kudhibiti leakages kwa Water proof tunadhibiti sehemu zote zinazo vuja iwe Silabu paa la la zege concrete roofing flat roofing fundi 0716354056
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Fujitsu obvious recorder kwenye nyumba

    Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani. Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye gari kurekodia matukio yanatotokea nyumbani kama mbadala wa CCTV?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

    Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
  10. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bati za kiboko zina ubora unaokidhi?

    Wadau wa ujenzi mnaonaje ubora wa bati za Kiboko? Zina ubora unaokidhi?
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, magari, pikipiki, boat na nyumba zataifishwa

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM-TANZANIA Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
  13. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania Maliza mwaka na Ramani ya nyumba yako

    Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664. Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  17. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mafuriko yaua watu 141 na kuharibu nyumba 38,000, Rais atangaza siku 3 za Maombolezo

    Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea. Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
  19. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

    Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Back
Top Bottom