House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,251
Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti.


Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa.

Nyumba hiyo ina:
1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained.
2. Open kitchen (Jiko linaambatana, na sebule)
3. Public Toilet
4. Sebule ni dining
5. Maji yasiyo na chumvi ya kutosha kabisa na uhakikauhakika.

Piga namba : 0747744895
IMG-20221010-WA0017.jpeg
IMG-20221010-WA0036.jpg
IMG-20221010-WA0037.jpg
IMG-20221010-WA0038.jpg
IMG-20221010-WA0038.jpg
IMG-20221010-WA0035.jpg
IMG-20221010-WA0031.jpg
IMG-20221010-WA0032.jpg
IMG-20221010-WA0033.jpg
IMG-20221010-WA0034.jpg
IMG-20221010-WA0030.jpg
IMG-20221010-WA0029.jpg
IMG-20221010-WA0028.jpg
IMG-20221010-WA0027.jpg
IMG-20221010-WA0023.jpg
IMG-20221010-WA0024.jpg
IMG-20221010-WA0025.jpg
IMG-20221010-WA0026.jpg
IMG-20221010-WA0021.jpg
IMG-20221010-WA0020.jpg
IMG-20221010-WA0022.jpg
 
1. Vyumba vya kulala vingapi?
2. Vingapi ni self contained?
3. Sebule ni dining room ni tofauti au ni chumba kimoja?
4. Jiko lipo.
5. Store?
6. Upatikanaji wa maji ni wa uhakika?
7. n.k.
 
hakuna details za kutosha..500K kwa lipi hasa?
Nyumba hiyo ina:
1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained?
2. Open kitchen (Jiko linaambatana, na sebule)
3. Public Toilet
4. Sebule ni dining
5. Maji yasiyo na chumvi ya kutosha kabisa na uhakika?
 
1. Vyumba vya kulala vingapi?
2. Vingapi ni self contained?
3. Sebule ni dining room ni tofauti au ni chumba kimoja?
4. Jiko lipo.
5. Store?
6. Upatikanaji wa maji ni wa uhakika?
7. n.k.
Nyumba hiyo ina:
1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained?
2. Open kitchen (Jiko linaambatana, na sebule)
3. Public Toilet
4. Sebule ni dining
5. Maji yasiyo na chumvi ya kutosha kabisa na uhakika?
 
Back
Top Bottom