nyumba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  2. JamiiForums Tanzania Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  4. JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba

    Wanajamvi vipi? Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi. Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake. Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

    Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu. Nyumba hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Alipotea kimazingara, akutwa kwenye nyumba ya mtu akiwa amekatwa ulimi

    Video hizi zinaonesha tukio la binti anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 akiwa ndani ya jumba la kifahari linalomilikiwa na huyo mama mwenye baibui nyeupe, inasemekana binti alipotea kimazingara na huyo mama anasadikika kuwa ni mwanga. Binti amekutwa hawezi kuongea kwakuwa amekutwa amekatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wizi nyumba za ibada tishio

    Matukio ya uhalifu katika nyumba za ibada yamewaibua viongozi wa dini na wanasaikolojia, huku lawama zikielekezwa kwa viongozi hao. Kwa mujibu wa wanasaikolojia, mahubiri yao yamejikita katika masuala ya ndoa, kazi na utajiri badala ya tabia njema. Licha ya utitiri wa nyumba za ibada...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

    Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita. Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa. Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi. Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko. N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba niliyokuwa naisifia, leo nimeletewa jipya

    Hii nyumba nilijiona ni kama nina bahati ya kupangisha hapo maana toka nihamie huu ni mwezi wa tatu lakini sijawahi nunua umeme na kodi nimelipa tu ule mwezi wa 2 nyuma sikulipa lakini kwa habari nilizozipata. Nitawaletea mrejesho nikisha fanikiwa kuhama maana nasikia ukishapangisha hapo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mkopaji aishtaki Akiba Commercial Bank (ACB) kwa upotevu wa hati ya nyumba

    Benki ya biashara ya Akiba (ACB) imeburuzwa mahakamani na mteja wake, Aisha Abubakar Hassan baada ya hati yake ya nyumba aliyoiweka dhamana ya mkopo kupotea. Kwa mujibu wa hati ya madai aliyofungua Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mfanyabiashara huyo wa vipodozi alichukua mkopo wa Sh30...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

    Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale. Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia ufanyaji kazi bado wa kusubiri hela advance kwa mteja hafikirii kabisa kuwa na store kubwa utakayotoa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
  16. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba kibaha Picha ya ndege 45 ml

    NYUMBA INAUZWA Milioni 45 tu(45,000,000/-) Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road. ENEO UKUBWA 20*25 VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA NDANI Nyumba ni nzuri sana mawasiliano 0783985530 karibuni sana
  17. JamiiForums Tanzania NEMC mtusaidie sauti za mitetemo toka club za starehe zina kera sana

    Hili swala limekaa vipi kisheria Unakuta clubs zimejazana katika maeneo ya makazi ya watu na zimekuwa zikipiga miziki mikubwa inayotoa sauti za mitetemo ambazo huathiri faragha ya mtu anakuwa nyumban kwake. Hili swala serikali ilitazame kwa umakini maana hizi clubs siku hizi ni kifuru sana...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  19. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya ya kisasa ina vyumba vinne inauzwa Goba, Dar

    Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 . *umeme na maji yapo. *uwanja wake una ukubwa wa sqm 880 Bei yake tshs. 168 million negotiable Dalali...
  20. JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…