nyumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama na mifumo ya sheria inaturudisha nyuma kwenye maendeleo

    Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma. Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
  2. Gullah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Nyangomango, Mwanza

    Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne. Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende arobaini kwa miguu, bei Milioni 33 na maongezi yapo kidogo. Mawasiliano: 0717254233 mwanz
  3. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mliopo kwenye ndoa naombeni uzoefu wenu

    Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
  4. Changchun yatai

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda msako wa mashoga sasa ni nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa

    Wananchi nchini Uganda sasa wameamua kuwasaka mashoga popote wanapopatikana na kuwashushia kichapo kikali mno, tabia za kishoga na mashoga zamani tulizisikia Mombasa, Zanzibar kutokana na shughuli za kitalii na muingiliano wa mila na tamaduni za kigeni, lakini hivi sasa ushoga upo kila mahali na...
  5. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

    Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso. Ukiongea unaambiwa...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

    Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania? Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na thamani yake, kunaathiri kiasi gani sector ya Real Estate nchini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi? Asanteni
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya babu yake Naibu Rais Kamala Harris yatafutwa Zambia

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la Uingereza linaripoti. Bi Harris, ambaye yuko katika ziara ya siku tisa katika nchi tatu za Afrika...
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matapeli wa nyumba mtandaoni

    Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nyumba 196 Zilizojengwa na WHI Jijini Dodoma Zaikosha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria

    NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema kamati yake imeridhishwa na viwango vya nyumba 196 zilizojengewa na Watumishi...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

    Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
  12. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukijenga nyumba Vikindu na Mbagala hata iwe ya kifahari itakuwa ya kishamba tu?

    Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima itaonekana ina kasoro? Maana utaskia mtu anasema "daaah mjengo mkali ila upo mbagala' "Mjengo mkali...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Hello 👋 brothers n sisters Good afternoon! Tuanze na huu mkasa hapa fuatana nami hadi mwisho. Kuna nyumba hapa Masaki location x, ni ghorofa ya floor moja tuu ndani ina swimming pool, car parking, ina mifumo ya cctv na iko fully furnished. Mmiliki wa hii nyumba ni marehemu Deborah mwenyeji wa...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

    Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa . Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  17. Brightly

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  19. King snr

    JamiiForums Tanzania Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  20. Brightly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
Back
Top Bottom