nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  2. JamiiForums Tanzania Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    "Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Salaam, Shalom!! UTANGULIZI. Ndani ya nyumba zetu, Pana mijusi yenye RANGI nyeupe tofauti na mijusi wa nje. Na KAZI ya mijusi KIMWILI Huwa ni kutafuta na kula WADUDU watambaao na warukao nk nk. MADA: MAKINIKA NA MIJUSI/ UPANDE WA PILI WA MIJUSI YA NDANI YA NYUMBA. Kuna mjusi alikuwa akiishi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

    Hi, Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali. Eneo langu la kazi ni Posta...
  5. JamiiForums Tanzania Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC)

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ali Said, na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili. Kwa pamoja walisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Shirika la Nyumba La Zanzibar (ZHC) yenye lengo la kuwawezesha Wafanyakazi na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kigambino Mwembe Mtengu

    Nyumba ipo kigamboni Mwembe mtengu inauzwa na mwenye nyumba. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 38Mil MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA KWA AWAMU MAWASILIANO +255784379396
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  10. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

    Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia. Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
  11. JamiiForums Tanzania IDF, walituamisha Mateka Gaza wapo kwenye Mahandaki, mateka anasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba

    Wanaukumbi. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanandoa magomvi ndani ya nyumba yanaondoa baraka kwenye familia

    Hii Kwa wanandoa walioana wakala kiapo na kuvalishana Pete madhabahuni. Biblia inasema apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali Kwa Bwana, Mwanaume unapooa mke sahihi Mungu hua anaachilia baraka zake Mke ni kibali/Baraka ndomana Kuna watu wengi wakishaoa mambo Yao hua Yanakwenda vizuri...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili yakumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu) NB: Nikipata na bei itakuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhiitaji wa kuangaliziwa nyumba nipo

    Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu, Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo, NB: Nina familia mke na watoto 2...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  19. JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa utoaji ardhi kwa raia- ardhi isiyomilikiwa kiasili

    (fungu la 24 - 30) UTANGULIZI Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki inaweza kuwa kwenye mojawapo ya makundi yafuatayo kwa maeneo ya mijini hapa Tanzania. Ardhi inayotolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…