nyumba

  1. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaochimba mchanga Bunju Dogodogo Centre wanahatarisha maisha ya nyumba zetu, NEMC hawasaidii chochote

    Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu. Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza. Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
  3. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Fela na Yamoto : Zile Nyumba Ziliishia Wapi?

    Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi. Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
  4. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  6. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba

    Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
  7. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba

    Habari,ebana samahani, unaweza ku forge hii nyumba? Nemtafuta engineer aliedesign Hiyo duu ana matusi kweli kweli.. Nisaidie ea kuforge ramani ya hii nyumba pls
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution

    WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution fanya hivi 1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga 2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
  11. O

    JamiiForums Tanzania MIAKA 2 iliyopita nilijenga nyumba ya MILIONI 50 Kwa kubeti

    Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9. Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti. Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  13. Mlatino Zeshalo

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya tiles kwa nyumba ya ukubwa huu mkoani Mwanza

    Wakuu habari za majukumu, Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating, Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo: Sitting Room: 525*630 Master Bedroom: 524*385 Bedroom 1: 280*410...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  15. Giphi

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kupanga Kilombero

    Habari, Natafuta nyumba ya kupanga Ruaha, Kilombero au maeneo ya jirani kabisa na eneo hili.
  16. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
  17. Voldemort

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  18. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hizi nyumba zilizpostiwa na TCRA zipo wapi?

    Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu. Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoki: Suala la wasanii na wananchi ni kama mpangaji na mwenye nyumba, wasanii sikilizeni wananchi

    " ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata...
Back
Top Bottom