Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
326
Reaction score
401
Nyumba inapangishwa Mbezi maramba Unashuka Kituo cha Makuti
Ni Chumba master na sebule na jiko
Kutoka lami Mpaka nyumba ilipo unatembea kwa miguu dk 8
Kodi 100,000 x miezi 6
Umeme unajitegemea pekee yako
Mtakua Wapangaji 2 tu,Mwenye nyumba hakai hapo

0675 065906
Utanipoza kidogo ya udalali
 

Attachments

  • 20260219_063307.jpg
    20260219_063307.jpg
    676 KB · Views: 20
Haka kazuri kakumpangia mchepuko mtoto wa ST Joseph pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom