nyumba

  1. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

    Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates, Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

    Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo . ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza

    Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza, vyumba vitatu kimoja kikiwa ni master, maji, umeme, barabara vipo, eneo la bustani lipo nk. Bei 2,600,000/- kwa mwaka Karibu mteja .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayehitaji nyumba ya kupanga

    Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba Frem Dar es salaam

    Nimerudia Kazi Yangu Jasiri haachi asili! Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika. Ninapangisha: Nyumba Vyumba Fremu za Biashara Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
  8. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa 5 inauzwa Magomeni Morocco. Bei tsh billion 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  10. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA NZURI SANA INAUZWA,IPO IYUMBU DODOMA,UKUBWA WA KIWANJA NI 1500 SQM,BEI NI MILLION 350 TSH,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  11. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA NDOTO YAKO UNAIPATA HAPA ,ANGALIA DESIGN AND BUILD YA HII MANSION KALI YA 5BEDROOMS WITH CINEMA ROOM

    TUNAFANYA KAZI NZURI FROM DESIGN TO UJENZI TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  14. U

    JamiiForums Tanzania "Makalio yanaongeza kiburi ndani ya nyumba" Pastor Bosco

    Ni maneno ya Pastor Bosco Tungaraza kupitia HamasikaTV
  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti Misewe B

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  18. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Ununio

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  20. Akhi

    JamiiForums Tanzania Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
Back
Top Bottom