nyumba

  1. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA KALI SANA INAUZWA,IPO BAHARI BEACH MTAA WA KISHUA SANA,BEI NI MILLION 450M,MAONGEZI YAPO

    HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen, ✅️ Dining room, ✅️ Parking,✅️ Garden, ✅️ Good neighbourhoods, ✅️ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  3. Slim

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga

    Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga Arusha classic appartment 3 bedroom budget 500k maeneo ya njiro Arusha, URGENT
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

    Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako: 1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule. 2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  7. dalaliami

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Vyumba 3 in Mbezibeach Tangibovu

    Nyumba ina vyumba 3 vya Kulala, Sebule dinning, jiko, Choo ndani. —Tshs 500,000/- — Maelezo zaidi 0716442950
  8. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  9. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

    Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ? Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
  10. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji nyumba ya chini yenye hadhi pita hapa uone hii, if you like our work just give us a call +255624004650

    6BEDROOMS CALL/WHATSAP +255624004650
  11. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Madale konten nyumba yakisasa inauzwa

    NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MADALE (Kontena) Ipo Madale, kilomita 1 tu kutoka barabara kuu. Imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa sqm 500. Nyumba ina vyumba vinne (4) – 1 ni master bedroom 3 ni self-contained Sebule kubwa ya kisasa Jiko zuri la kisasa Dinning, store, na choo cha wageni...
  12. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba ina uzwa GOBA KWA AWADHI

    NYUMBA YA KISASA INAUZWA – GOBA KWA AWADH Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa eneo la Goba kwa Awadh, Dar es Salaam. Ipo karibu sana na barabara kuu ya Goba – umbali wa mita 200 tu! Nyumba ina Vyumba 4 vya kulala Vyumba 3 vina bafu na choo ndani (self-contained) Choo cha wageni (public toilet)...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Aina ya mansion ambayo ukijenga lazima mtu akipita aulize hii nyumba ya nani – 6 bedrooms mansion +255624004650

    LEO SINA MAELEZO MENGI :D 6BEDROOMS SEBULE 3 BALCONY KAMA ZOTE PLOT SIZE 2000SQM ESTIMATE MPAKA ROOFING 260M CALL/WHATSAP +255624004650
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Nyumba ya vyumba vitatu vya kupanga

    Tupigie kama una nyumba yenye vigezo hivyo 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti Misewe B

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

    nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja master vyumba 2 vya kawaida seble dinning jiko store public toilet nyumba ina mita 11 kwa 9.5 ukitaka tukujengee nichek 0743257669
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  18. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimetua bongo usiku wa kuamkia leo,,,Fasta nikaingia nyumba ya Ibada,,,halafu mkutano na wajukuu zangu...

    Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu.... Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
Back
Top Bottom