nyumba

  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kufanya msako wa nyumba kwa nyumba, chaka kwa chaka kuwatafuta waliopotea?

    Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo. Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea? Zoezi hili liende nchi nzima...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Aunty LuLu: Kuna watu wapo nje ya nyumba yetu wanataka kuvunja mlango

    Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇 Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Waliovunjiwa Nyumba Bagamoyo wakwaa kisiki Mahakamani

    Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025. Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wajenzi wa nyumba za kisasa

    Je, unatarajia kujenga nyumba yako hivi karibuni? Na unataka kujengewa nyumba ya kisasa kwa uaminifu na ubora unaohitajika? Kama ndivyo basi hujachelewa na tayari umetupata MODERN HOME BUILDERS ambao sisi ndio watu sahihi wa kukujengea nyumba ya ndoto zako na hitaji la moyo wako. Sisi MODERN...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania House4Sale 5 units nyumba za kupangisha zinauzwa tsh milioni 35

    Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo Kiluvya Makurunge, Pwani karibu na kwa masister au kwa Sumaye. Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Angalia hii nyumba iliyokosa Mzee inavyoteketea

    Wazee ni hazina, wazee ni risasi ya mwisho na mzee ni sehemu ya kwenda kujichukulia maarifa. Leo kama Taifa unaona yanayoendelea, wazee wote muhimu wameteketezwa ili vijana (taifa la kesho) wabaki wenyewe. Mfano, mzee Nyerere kwa wakati wake aliweza kusema na kuonya kuepusha dhiki, Mkapa na...
  9. GoLC

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa nyumba inapaswa kusimamiwa na mwanaume kwanza

    Habari za asubuhi wana MMU Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala? Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife jana kuhusu kugawa vitu bila ridhaa yangu (au niseme bila maridhiano kwanza kwamba nataka kufanya...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Yusufali anatapeli nyumba au 'mama Mjane' anang'ang'ania mali ambayo walishauza?

    Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa safarini pia. Mahakama hizi za Ardhi huwa zinauliza ulikuwa wapi kwa muda wote huo? Uhalisia wa bei japo...
  12. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Marehemu Justice Rugaibula , ambaye Nyumba yake ipo katika mgogoro ndo huyu huyu alikuwa akiimbwa katika band za wakomani?

    Hili sakata linaoendelea muda huu . Kuhusu Justice Rugaibula , ndo huyu muhaya pendeshee ambaye amekuwa akiimbwa na wakongomani katika nyimbo zao. If yes , basi hili jambo linatafakarisha Sana.
  13. D

    JamiiForums Tanzania RC kumtembelea aliyedhalilishwa kwa kufukuzwa katika nyumba ni dhihaka mbele ya umma

    Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu! Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole! Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na uovu wa kiutendaji. Ile siyo ajali bali ni jambo la makusudi kabisa lisilo na utu ndani yake...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

    Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni. Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hizi ni nyumba Rais Ibrahim Traore amejenga kwaajili ya raia wake masikini nchini BurkinaFaso

  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupatwa na tukio kama hili? Moto wateketeza nyumba na mali za wapangaji

    Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo. Hapa kama ni...
  17. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  18. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Familia kutoka Uingereza imeuza nyumba yao ya £500K na kuhamia Africa wakidai maisha ni mazuri zaidi huku

    Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe James, mwenye umri wa miaka 37, pamoja na watoto wao wawili, walihamia kusini mwa Afrika baada ya...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TBA Kuwaondoa kwenye nyumba watumishi wenye madeni

    Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025. Mtendaji Mkuu wa TBA, Arch. Daud Kondoro, amesema kuwa zoezi la kuwaondoa wadaiwa hao litazingatia mikataba iliyowekwa na...
Back
Top Bottom