Je,
inaweza kua motro wa round ya kwanza ulikua mkali sana?
Au mshedede unasukutua hadi unagusa maini na mapafu yake?
Ana changamoto ya afya ya via vya uzazi au kisaikolojia?
Je,
hakuandaliwa kikamilifu au amechoka baada ya kutoka kwenye shughuli nyingine nzito zaidi, sehemu nyingine...