nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu? Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Moyo ni changamoto nyingine ya nguvu za kiume

    Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine

    Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine Kila siku tunabadilishana mafaili kama JPG, PDF na mengineyo bila hofu yoyote. Hata hivyo, ukweli ni kwamba faili linaloonekana la kawaida linaweza kuficha programu hatarishi. Wadukuzi wameendelea kubuni mbinu za kificho...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

    Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana na kutamani kitu kama mapochopocho nk
  5. mangikule

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa unaambia vijana wasibabaike na kudanganyika na BIASHARA utafikiri sasa wana choice nyingine lukuki za kufanya

    Mi nafikiri tuache ujuaji sana. Experience yako binafsi isiwe ndio hitimisho kuu. Kwa maisha yetu sisi masikini wa kiafrika, fursa ziko limited na expensive maana rasilimali zimekuwa economized. Kijana huyu ambae amekaa miaka 6 hata hajawahi kuitwa katika interview, kijana alieishia forma 4...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Instagram wamefanya update. Wameongeza feature ya "repost" kama Tiktok na features nyingine 2

    Wakuu, Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi after sometime pia kinaonekana kwenye akaunti yako. Kwa hiyo sasa hivi kuna options kama 4 ambazo ni...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

    Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
  9. nodetz

    JamiiForums Tanzania Je, Elon Musk ananufaika na nini anapo simamia mipango ya kumhamisha binadamu kwenda kuishi sayari nyingine

    Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars. Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia. Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Habari ya Leo GT. Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA; 1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini? a: Kupunguza pressure mtaani b: Kupunguza mzigo kwa CCM c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kustaafu ni kupumzika, na sio kubadili kazi moja kwenda kwenye kazi nyingine

    Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo. Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini. Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu. Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kufanya cloning ya ubongo, wakati tissue na organ nyingine tunafanya cloning?

    Kwanini teknolojia hii inafeli kwenye ubongo, ninamaanisha tunataka tufanye cloning ya mr X ili aweze kufanana na clone ya ubongo wake, kwa kila kitu
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kung'ang'ania usipotakiwa ni aina nyingine ya kujidharirisha na kujichelewesha

    Maisha yana mambo mengi sana na katika hayo kuna amabayo yana afya katika makuzi yetu na kuna mengine hudhoofisha makuzi yetu ya mafanikio Moja ya mambo yanayodhoofisha makuzi yetu kimafanikio ni hili la kulazimisha sehemu usiyotakiwa kwa sababu zifuatazo : KUJICHELEWESHA, Ili kulazimisha...
Back
Top Bottom