nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

    Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi. Wasanii wengi huishi kwa misaada ya familia, ofa, kulelewa na mashuga mami, kudanga mapedeshee na mishe...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Bei ya ngano yapanda juu baada ya mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi kuvurugwa

    Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini. Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  5. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu udongo wa mbuga nyeusi Kondoa (Kambi ya Moto)

    Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu: Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
  6. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ni ipi dawa ya kurudisha mn'gao wa rangi ya nguo, au kuzuia nguo isipauke hasa nyeusi?

    Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo. Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu tayari inaonekana chakavu hata kama bado haijaqualify kuwa dekio jipya. Sasa si wengine tunataka...
  7. Mireni KJ

    JamiiForums Tanzania Fridge aina ya Boss rangi nyeusi

    Ninauza fridge yangu aina ya Boss. Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida Ipo Arusha mjini Offer yangu ni Tsh. Laki 5 Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka. Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu. Namba ya simu 0758435748
  8. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  9. Kwekitui

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  10. Smarter

    JamiiForums Tanzania Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in amaana gani?

    Hatujawahi kosa jibu ama solution humu. Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi zikiwa na format ya namba na herufi za kawaida Mfano T 747 DFY Ila kibao kinakuwa cheusi. Humaanisha nini ?
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zari akemea wanaomkosoa kwa kuvaa chupi nyeusi ndani ya nguo nyeupe

    Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni. Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Zari anaonekana akiwa anasakata densi huku akiwa...
  12. Jumannnne

    JamiiForums Tanzania Maandishi meusi yaliyoandikwa kwa wino mweusi

    Nawasalaam ndugu zangu wapendwa natumai wote ni wazima wa afya. Moja kwa moja nianze na maandishi yangu meusi yaliyo katika karatasi nyeupe na haishangazi sana mana ni utaratibu na uandishi wenye kusomeka kama sio kueleweka kwa urahisi zaidi na ndio maana unapata nafasi maridhawa ya kusoma...
  13. alcacer

    JamiiForums Tanzania Nywele zangu zimekuwa za brown, naomba msaada zirudie rangi nyeusi

    Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wadau nguo zangu nyeusi suruali na shati zimepauka nitafanya nini zirudi kuwa mpya tena

    Habari za mchana kwenu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji dye kwa ajili ya kuweka kwenye nguo nyeusi zilizopoteza rangi ili zirejee katika rangi yake ya mwanzo. Sifahamu kwa hapa Dar es Salaam wapi ninaweza kupata. Nimeona zinauzwa Amazon, Ebay ila mchakato wa kuagiza...
Back
Top Bottom