Nywele zangu zimekuwa za brown, naomba msaada zirudie rangi nyeusi

alcacer

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
238
201
Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
1622464059652.png
 
Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?

Ni ulipaka henna au zimekua zenyewe tu?

kama zimekua zenyewe tu steaming za asili zitakusaidia, leave-in conditioner ya bamia (okra) ukiweza plus tafuta castrol oil og uwe unapaka pia spray ya maji ya mchele au maji ya mpera tho sio swala la siku moja ila zitakua nyeusi

Kama uliweka hair color au henna bas weka black usonge mbele kama injili
 
Iget it thanksAlot
 
Natumae ulipata muongozo...

Punguza kutembea kwenye jua kali kichwa wazi...
 
Back
Top Bottom